Nishauri kuhusu Mkopo

Head Gelo

Senior Member
Oct 7, 2018
122
210
Mshahara wangu
Take home ni laki nane kwa sababu nina mkopo NMB ambao bado saa uishe ulikuwa na miaka 6

Hapo hapo nina biashara ya duka la hardware napata mia mbili mbili ,na vyumba viwili vya kupanga ambavyo napata 120,000 kwa mwezi

Sasa hii biashara imeyumba kwa kiasi flani bidhaa zimeisha sana ila kuna wateja so mauzo yameshuka sana na hapo hapo kuna rejesho ambalo bado miezi mitano liishe (Nilikopa mkopo wa mwaka mmoja mkopo wa biashara)

Sasa kila nikipata huu mshahara sifanyi kitu chochote cha maana
Naombeni mnipe ushauri nifanyeje kati ya hizi option

Nikope mkopo mpya benki nyingine nibust duka??
Au nitop up mkopo wa awali wa mtumishi ? Nibust duka
Au Nikope niongezee vyumba vya kupanga ?niendelee kupata kodi??
Au nifanye nini ambacho kitanipa faidaaa??

Naombeni mnipe mawazo enu tafadhali ,

NB:Mikopo midogo dogo kama milion 2-4 naweza kukopa pia kirahisi kwenye kikoba
Karibuni
Nv
 
Ningeshauri ukope na kuongeza vyumba vya kupanga maana hivyo havitayumba Kisha kiasi kidogo kitakachobaki ndio upeleke kwenye biashara.
Unaweza kufungua biashara za miamala au vifaa vya simu
 
Mkopo umebakiza muda gani.. je Kodi za vyumba ziko mbali?
Usiongeze mkopo juu ya mkopo.
Una nafasi nzuri, kopea ujenge nyumba ya kupangisha, Kam chumba ni 120k na una eneo la kujenga vyumba 7-10 kopa ujenge hapo.
 
Unadai how much??mshahara huo wa take home ungejibana uwe unapeleka 6lk benki ili umalize huo mkopo na faida zingine ,za biashara ya hardware sio yote kiasi mf. Laki nane toa 6 na hardware kila mwezi ni laki 4 so unakuwa na ml 1 unafanya rejesho i hope utamaliza ndio ukope mwingine
 
Mkopo umebakiza muda gani.. je Kodi za vyumba ziko mbali?
Usiongeze mkopo juu ya mkopo.
Una nafasi nzuri, kopea ujenge nyumba ya kupangisha, Kam chumba ni 120k na una eneo la kujenga vyumba 7-10 kopa ujenge hapo.
Mkopo wa mtumishi bado miaka mitano uishe
Chumba kizuri single kodi nalipwa elfu 60 ,nina vumba viwili na eneo linatosha vyumba kama nane
Nikijenga standard na choo kwa hapa chumba ni laki moja ila vymba vya sasa vya kawaida ila vikubwa
 
Nimejikuta nashindwa kukushauri baada ya kugundua ni mdada, nikawaza kuwa boyfriend wako au mumeo ameshindwaje kukushauri?
 
Mwalimu wa tgts g utamjua tu kwanza ni mzee mzee tayari we mdada na umeachika.
 
B:Mikopo midogo dogo kama milion 2-4 naweza kukopa pia kirahisi kwenye kikoba
Karibuni
Mimi naona uendelee kukopa hapo vicoba ,sababu Top up za mikopo ya mabenki ni pasua kichwa,kama huna ulazima
wa kukopa,nikimanisha ada na kujitibia.Ni afadhari umalizie mkopo,ukope full au kiasi kile kile ulichokuwa unakatwa uanze kuweka UTT.Mtaji uwe unakopa vikoba unaweka dukani ila hakikisha una usimamizi mzuri.
 
Mwalimu wa tgts g utamjua tu kwanza ni mzee mzee tayari we mdada na umeachika.
Usikariri maisha dogo ,mimi siyo mwalimu ,hata miaka 33 sina ,nina mume wangu na watoto wangu ila nina uhuru wa kiuchumi bila kujali nini mume anachangia
 
Back
Top Bottom