nisaidieni wazo!!

Rebel volcano

JF-Expert Member
Jun 1, 2012
403
86
ni chama gani cha upinzani barani africa kilishika madaraka kutoka chama tawala,na kikawa bora zaidi na kuleta mabadiliko??!!!(kwa kupitia uchaguzi)
kwa mtazamo wangu mbwembwe huwa nyingi utendaji kazi huwa ni ule ule!
nimewasilisha wazo!
 
Back
Top Bottom