Nisaidieni wasifu wa wasichana wa kimakonde.

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Jamani nataka kufahamu tabia zao,vitu ambavyo hawapendi,je kwenye mapenzi wakoje?wavumilivu?kiburi?
bado wanafuata mambo ya mila zao?

ebu nipeni nondoz nataka nimrushie mmoja ndoano.
 
mbona kimya jamani,au swali imekuwa tata.
 
Hawajui kukataa na endapo ukimtongoza akakukatalia ukienda kwa balozi ukamshtaki anaitwa ili aseme kwanini anakataa wakati amepewa bure na anatakiwa atoe bure...
 
Tehe! Tehe! We Nngusage ila hela yangu ya soda unipe!
 
Hawajui kukataa na endapo ukimtongoza akakukatalia ukienda kwa balozi ukamshtaki anaitwa ili aseme kwanini anakataa wakati amepewa bure na anatakiwa atoe bure...

mkuu hata mwenye kadigiri chake pia ni hivo?mi nataka awe ananyima raia
 
Hawajui kukataa... Hata ukioa ujue unaolea na wengne, ofcourse ni wakarimu, wanajua mambo yale mambo yetu, hawana gharama, wachapakazi hasa za nyumbani na wanajua mambo wawapo uwanjani. Namwambia haya kwa experience niliyonayo kwao kwa takribani miaka 3 niliyoishi mtwara.
 
Kwenye 6x6 wako safi,ila kama haupo zikiwapanda wanaweza kudu hata na mdogo wako!
 
Jamani nataka kufahamu tabia zao,vitu ambavyo hawapendi,je kwenye mapenzi wakoje?wavumilivu?kiburi?
bado wanafuata mambo ya mila zao?

ebu nipeni nondoz nataka nimrushie mmoja ndoano.
1.Wanavaa shanga 70-100hivi.
2.Wanakata viuno kama feni.
3.Ni waliaji wazuri mno,hasa mnapokua ktk majambozi.
4.Mkienda bafu wanaubeba mzigo kwenye "kisosi cha chai"
5.Ni wepesi wa kutoa Tigo.
6.Wana sera na falsafa kama ya ccm yani "mafiga matatu.
Jamani tulikuwepo bye!!
 
mkuu hata mwenye kadigiri chake pia ni hivo?mi nataka awe ananyima raia

Hakuna kitu....kwanza wanaanzaga kufanya wakiwa std 3 leo awe chuo...atakuwa kachuja mbaya...
Halafu wasomi wa kike toka lindi na mtwara hakunaga....wao ni wasomi kwenye tamtam....lol
Ousofia akinaswa kaisha
 
Viuno bwana viuno.......huwa wana kozi maalum ya kimapokeo katika sekta ya viunu, yaani utadhani kuna vimitambo kwenye zile ndude zao......japo lafudhi zao utaishia kucheka tu.
I miss Newala, ngoja wikiendi ijayo niendepo tena (lakini si kwa nia mbaya jamani)
 
hapo sina tatizo kabisa
 
Hakuna kitu....kwanza wanaanzaga kufanya wakiwa std 3 leo awe chuo...atakuwa kachuja mbaya...
Halafu wasomi wa kike toka lindi na mtwara hakunaga....wao ni wasomi kwenye tamtam....lol
Ousofia akinaswa kaisha
kuna mmoja bhana ana kadigiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom