Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,459
Nguo inauzwa shilingi elfu 10,000 wewe huna pesa, ukaamua kukopa kwa dada yako sh. 5,000 na kwa kaka sh. 5,000 ukapata elfu 10,000.
Ukaenda kugalaliza na kununua kwa sh. 9,700 ukarudishiwa sh. 300, ukaamua kupunguza deni ukatoa sh. 100 kwa kaka na sh. 100 kwa dada ukabaki na sh. 100.
Hivyo ikawa una deni kwa dada 4900 na kwa dada elfu 4,900. jumla 4800 ukijumlisha na mia iliyobaki unapata 9,900.
Je, shilingi 100 nyingine iko wapi?