nisaidieni Proxy na port ambayo inasupport resuming of files Mediafire

mgeni3

JF-Expert Member
Jun 4, 2010
228
63
nisaidieni Proxy na port ambayo inasupport resuming of files Mediafire, nliyonayo inadownload kidogo then inafail
 
kwanza sema hiyo uliyonayo. kuepuka kukupa kitu ambacho unacho.... lakini umeshindwa kukitumia vyema
 
kama kuna mtu ana proxy na port inayo support java script. please
 
Ip: 173.254.215.231
port: 80
speed: 350 - 450 KBps
Awesome
fast katika kudownload i
recommend hii utumia
kwenye kudownload tu coz surfn haiko fast kvle
inasupport Youtube and
inadownload mafile kutoka Mediafire bila shida and
inaresume kudownload
plus downloads from Wupload any file size search for them hapa:
wuploadsearch.com

And now this is THE BEST HOSTIN SITE sijawah ona its better than wupload+filesonic+megaupload..Kila file lpo duh tena hamna longolongo ya rar part1, rarpart2 e.t.c.. Search files kupitia hapa:
Megashares - Drag. Drop. Yup. The first site to provide FREE file hosting with drag n drop support.

AND THE BEST THNG IYO IP NAILS IT ALL IF U USE THE RITE WAY!!
 
Iyo ip nldondosha kama Gb 8 hv at 10 hours hv juzi thanks to it na mega shares dwnloaded mafile hadi raha hehe
 
Back
Top Bottom