In the main menu,
Select File
Select Save as Text
Hallo wana JF,
Naomba ikiwa kuna yeyote anayefahamu namna ya kuconvert PDF document au mwenye software hiyo anisaidie tafadhali. I have something in PDF that I have to convert to word doc and my friend google does not give me nice answers.
Thanks in advance.
what.....Nunua CD ya 700MB save ilo file kwenye CD then liburn litageuka lenyewe