Nisaidieni mnaojua

Mangandula

Senior Member
Nov 30, 2011
184
37
Habari wadau. Ninampango wa kununua video camera, sasa naomba wadau mnaojua camera nzuri ya bei ndogo na inayotoa kazi nzuri, aina ya camera na ubora wake iwe mpya.
 
Nadhani itawasaidia sana wataalamu iwapo utawaelezea pia unataka kuitumia hiyo kamera kwa shughuli za biashara au kuiga picha za nyumbani tu
 
....kwa ajiri ya biashara zaidi....

...Then huwezi kupata ya bei ndogo kama unataka kuifanyia biashara. Kamera za kibiashara ni zile zenye high definition ability, kama zile zinazotumika kupigia picha za movies zilizoenda shule, au zile za kupigia picha za kutumika kwenye TV. Pitia maduka ya electronics mtaa wa Samora Dar, zinapatikana.
 
ubora wa picha za camera hupimwa kwa kitu kinachoitwa mega pixels. kwa hiyo unaponunua camera yenye mega pixels nying zaid na ubora wa picha unaongezeka. kawaida camera nying zinaanzia mega pixels 6,8,10.11 na kuendelea. so ukiweza kununua yenye mega pixels nying kama 14 na kuendelea na bora zaidi. huo ndo msaada naoweza kukupa ndugu
 
dont only look for a number of mega pixels but also remember to look for a quality of the lens
 
Back
Top Bottom