Nisaidieni kupata kazi ndugu yenu nafwa!

ladypeace

JF-Expert Member
Dec 19, 2012
935
506
Wana jf habali zenu natumaini mu wazima nakuja kwenu nikitambua vyema humu kuna maboss na waajiriwa wa makampuni ,serikali na mliiojiajiri kwa heshima naomba mnisaidie kupata kazi ninauzoefu wa miaka 4 kwenye kitengo cha customer care naombeni wadau msaada wenu tafadhali .wenu mtiifu lady peace.
 
Wana jf habali zenu natumaini mu wazima nakuja kwenu nikitambua vyema humu kuna maboss na waajiriwa wa makampuni ,serikali na mliiojiajiri kwa heshima naomba mnisaidie kupata kazi ninauzoefu wa miaka 4 kwenye kitengo cha kustomer care naombeni wadau msaada wenu tafadhali .wenu mtiifu lady peace.
Je uko tayar kupokea 250k kw mwez km upo tayar nichek pm nikuunganishe j3 uanze kazi..
 
Weka qualification zako Japo unauzoefu wa Customer Care.

Pia usikatee tamaa kuna watu watakuja na majibu ya shombo hapa.
 
Kama una sura nzuri, muonekano mzuri na uko tiyari kufanya kazi kanda ya kati nitafute!
 
Mungu ndiye atakupa kazi jiamini na umuombe sana mungu huku ni majanga mtu anaetaka kukupa kazi kweli sio wa kuuliza sura jamani tuweni waungwana tuacheni dhihaka kwa mambo muhimu ya kijamii

Hua mnakera sana kama unaandika mungu na huku unamaanisha MUNGU

Hivi shuleni ulienda kusomea ujinga? (In faizafoxy voice)
 
Back
Top Bottom