Nisaidieni kimawazo nipo njia panda.

nakuja ni habari ndefu sana. inafuraisha na ina sikitisha nani funzo pia hata kwa wengine.

umeona shida gani kuandika hiyo thread yako ukaimaliza? Au unafikiri humu kuna watoto wa chekechea leo unawafundisha 'a', kesho 'e', na keshokutwa hivyohivyo..
Hebu peleka hizo story zako za 'nitaendelea' magazetini hapa si mahala pake
 
Ameiba cmu ndiyo maana ameshindwa kumalizia..mwenye simu amerudi.
 
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea
Uhitaji msaada wewe unahitaji kufumuliwa..."mbavu" zako!!!!
 
ndugu kama mkasa wako ni mrefu andika stori yako yote kwenye ms word halafu baadaye ndio unakuja unakopi na kupaste. ona sasa unawachosha watu. ni ushauri tu.

Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea
 
Mimi ni mdau upya kwenye ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea

ukisikia kilaza wewe ni kilaza orginal
 
Mimi ni mdau upya kwenye
ili jukwaa nimejiunga mda si mrefu sana kutokana na kufatilia maada za
humu ndani zinafundisha sana thus why imenibidi na mm nitoe la
moyoni.ilikuwa ni mwaka elfu mbili na tisa mwishoni nilipokuwa nafanya
kazi maeneo masaki nilimuona binti mmoja yupo dukani kwenye jengo
nilipokuwa napiga mzigo yeye yupo chini mm nipo floor ya juu kwa kuwa
nilikuwa maarufu pale nikauliza wale wasaidizi wa hapo dukani uyo binti
wa wapi wakaniambia ni mtoto wa mwenye duka itaendelea

Kuna watu huwa hawapendi kwenda pahali bila ya watu kujua kama nafulani yupo so anapendwa atajwe tajwe tu japo kwa ubaya. Wakuu mwenye Namba ya cm ya shigongo erick ampe huyo Kilaza.
 
Mod naomba pawe na mtihani wakati wa kujiunga maana sasa hivi jf inabadilishwa na baadhi ya wap....vu na kushusha hadhi yake. Nyie watoto tumewaachia fb endeleeni huko msituaribie gt yetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom