Nisaidieni jamani na hii CISCO issue

Big1980

New Member
Feb 18, 2008
1
0
jamani mie nataka kufanya CISCO Course(CCNA),lakini nina bachelor degree ya socail science(socilogy) na masters ya social science, ..hivi kama nikifanya hii CiSCO inaweza ikanisaidia kwenye kupata kazi kiurahisi..bila ya kuwa na background ya computer science..au ntakuwa napoteza mda wangu na hii couse..???Pls naombeni maoni yetu kwa wenye experince..tafadhali,thanx
 
Kaka,

Ushauri wangu.
Somea jambo ambalo unalipenda na nafsi yako ingependa kulifanya. Hii itakusaidia kuelewa wakati unasoma. It will subconciously Drive you to experiment and understand what your doing without the need of cracking your head to understand what is being taught.

Mazingira ya kusoma CCNA nchini:
Mdogo wangu alifanya CCNA bongo, kusema ukweli mazingira ni magumu. Alifundishwa theory, alitumia simulators, mpaka alipomaliza wala alikuwa hawajaoneshwa hata Router ni nini ? Lakini kwasababu alikuwa anaipenda Cisco aliweza kufaulu after his first attempt only - akawaacha watu waliojaribisha miaka nenda rudi. Sasa ninamfundisha jinsi ya kuconfigure Router, Switches ofisini za Cisco kwasababu mahali tunapofanya kazi zipo.

Kwa maelezo yako unabadilisha kambi kutoka Social Work kwenda I.T. Kama unapenda I.T / Networking basi utaielewa CCNA vizuri. Lakini kama unabadilisha kwa malengo ya kupata kazi kiurahisi- siwezi kupa guarantee.

On a positive note: Nina ndugu watatu waliosomea social work hapo Bamaga. Kusema ukweli mungu amewajalia na walipata kazi straight. Mmoja yuko benki, mwingine yuko NGO, mwingine yuko kwenye duka la simu (ana survive). Social workers wanahitajika kwenye NGO, Bank, PR firms, marketing hata Tourist companies Arusha !

Pia angalia mategemeo yako maishani ni nini. Je unataka kukaa kwenye computer masaa 16 kama mimi au ungependa kudeal na watu (social) ?

My 2 cents

B.P (2010)
 
Back
Top Bottom