Nisaidieni jamani mwanamke katishia kuniua

nipo fresh na mwanamke alikuwa sipo kiwembe so kwenye suala la ngoma hapo hakuna shaka mkuu

Kwani mkuu mlivomaliza kazi hamkwenda kuoga au kujiswafisha? sababu inashangaza kugundua morning kuwa kitu kimebaki ndani ya sehemusehemu.Hakuisi kama bado ana Dooo na kitu ambacho hakieleweki?
 
aya aya aya !! afrodenzi afrodenzi.
ningekuwa na pesa ningekupa penzi
na nashukuru kwa mistari yenye hisia za mapenzi
siwezi kukutamani kimapenzi
lakini utamu haukosi kwenye lako penzi

afrodenzi dada yangu nakupenda
japokuwa mimi sio mpemba
nitakupa mambo motomoto kama marashi ya pemba
hii stori ya leo ni kweli imetpokea na wala sio pumba,
na nikija kutana na wewe tutakuwa ndani ya chumba
na yatakayotokea yanabakia humuhumo ndani ya nyumba

afrodenzi mtoto mzuri
leo umenifariji hadi najisikia vizuri
kuna mchawi anajiita TANMO alinifanya nisijisikie vizuri
mimi sio mtaalamu wa mashauri



aaa nimeshindwa kuendelea bana to a:A S kiss:frodenzi

aaaaaaaaaaaa kwa hiyo mimi mchawi siyo?
Haya Bana..
 
r01.jpg
7c8260ed2043759e2ff8dab6091562dd.jpg

Duh!
 
umeoona hizo beautiful Red Roses..???
tangu tuoane we hujawahi nitumia..
mmmmhhh ndo maana nataka zile karatasi
hahahah lol

Vipi mambo lakini kipenzi changu??/
afro kumbe upo kwenye ndoa? ahahaaha hope jamaa hasomi hizi post
 
Subili miezi 3 kisha ujiridhishe kama afya yako inaruhusu au lah

mkuu unafikiri yule alikuwa ni mtoto wa joli nini? mimi napima kial baad ya miezi sita na sehemiu ninayoishi suala la ngoma sio tishio kama unavyofikiria kwanza mwaka unaisha sijawahi ona tangazo linalohusu mambo ya ukimwi.....dont compare it with TZ keep in mind
 
akikuua ndo utapata akili kuwa uzinzi ni mbaya...pusi we! akuue tu ili ukienda kuzimu huko ukapate akili nzuri pamoja na shetwain...

duh!! mkuu huu sio uzinzi au kwa vile nimeanika siri zangu hapa? wewe mambo maangapi unafanya na hatuyajui? toa ushauri na sio kutoa kibanzi ilihali unaliboriti
 
WE NAWE, NDO UPO BALEHE YA KWANZA NINI? BADALA YA KUJICHEKI KWANZA KAMA HAJAKUACHIA GONO UNAANZA KUOGOPA SMS YA KIJINGA FROM A DESPERATE *****. :shock:

take some popcorn kwanza:popcorn:
 
afro kumbe upo kwenye ndoa? ahahaaha hope jamaa hasomi hizi post

mmmhh vipi mambo mkuu
jamaa ni The Finest dear.

mmhh usijali anachakachua nje
ndo maana kama ukiona thread nyingi utaona namwomba zile paper hahahahah lol

nway vipi mawazo yanaendeleaje ????
duuuhh maana nimegundua uko online 24/7 hahahah lol
 
mmmhh vipi mambo mkuu
jamaa ni The Finest dear.

mmhh usijali anachakachua nje
ndo maana kama ukiona thread nyingi utaona namwomba zile paper hahahahah lol

nway vipi mawazo yanaendeleaje ????
duuuhh maana nimegundua uko online 24/7 hahahah lol

ahahhah mi niko poa !! nipo mda mwingi tu humu nishakuwa addicted na JF ikifungwa lazima presha ipande....kkwa hiyo jamaa ni the finest?hahahha afrodenz
 
aaaaaaaaaaaa kwa hiyo mimi mchawi siyo?
Haya Bana..

ooohhh dear

mmhh anamaanisha mchawa kwasababu weye umerukia jibu la haraka
badala ya kutatua tatizo na kumsaidia hahahahahha lol

duuuhhh ngojera nzuri ungeimbiwa
na Red Roses ungepewa
jaribu kumfariji na si kumuua..
jaribu kusimama kwenye viatu vyake
halafu utaelewa mawazo na hofu
anazopitii kwa siku hizi chache,,

nway namwakilisha Ivunga
hahahahahahha lol

yote kwa ajili ya amani lol
AD
 
ahahhah mi niko poa !! nipo mda mwingi tu humu nishakuwa addicted na JF ikifungwa lazima presha ipande....kkwa hiyo jamaa ni the finest?hahahha afrodenz

ooohh dear
JF ina ubaya na uzuri wake dear..
anasaidia kupunguza mawazo..
lakini addiction yake ni borea
marijuanahahahah lol

lakini ndo hivyo dear
kila siku binadanu tunaenda
na tunataka kukaa mahali
ambapo ni comfatable..
labda tu pale inapotokea
huna choice haah lol

yap TF ndo mzee mwenye nyumba lakini
nyumba karibu itaanguka
sababu alijenga na matope
halafu mvua imezidi hahahah lol
 
ooohh dear
JF ina ubaya na uzuri wake dear..
anasaidia kupunguza mawazo..
lakini addiction yake ni borea
marijuanahahahah lol

lakini ndo hivyo dear
kila siku binadanu tunaenda
na tunataka kukaa mahali
ambapo ni comfatable..
labda tu pale inapotokea
huna choice haah lol

yap TF ndo mzee mwenye nyumba lakini
nyumba karibu itaanguka
sababu alijenga na matope
halafu mvua imezidi hahahah lol

red_wine.jpg
istockphoto_6547852-red-wine-glasses-in-toast-gesture.jpg



mmm afrodenz mimi sikuwezi kabisa
mtoto mzuri huna hata moja kosa
marijuana ni kitu mbaya sana
sitokuja kuigusa kabisa

kama una macho ya kuona
angalia mambo niliyokuandalia
ni red wine nimekuwekea
sijasita kukukaribisha
mtoto afrodenzi utasababisha
mwenye mali aje kuniua
hili nililo nalo lanitosha
lakini kila nikikuona udenda wanitoka
si mbayaukija tupige hii wine
hata kama itakuwa ni siku moja
na sintokuja kukusahau
kamwe katika maisha yangu,
TF mzee mwenye nyumba
ajue duniani kuna kuibiwa
na kama yeye hajawahi kuiba
awe wa kwanza kurusha jiwe
na kama akirusha jiwe
tutajua mtoto sio rizki
sio kwamba najaribu kumtusi
heshima yake sijaivinja
anatakiwa akae akijua
akiwa nawe asiwe na wivu
:coffee::coffee::coffee::coffee:
 
Back
Top Bottom