Nisaidieni hili la TCU!

combra

Senior Member
May 28, 2012
130
31
mwenye data ya vyuo hivi hata kuhusu ada yao na kiasi cha mkopo walicho pangiwa na board ya mikopo naomba anisaidie kwa sim yangu ndogo haiwezi download pdf plz.vyuo vyenyewe ni _TIA,MUCOS,IAA,CBE DAR,UDOM,SAUT, naTUMAIN IRINGA,especial kwenye course ya procurement plz wadau nisaidieni.Nataka kujaza form ya TCU kipengeli cha ada na loan ndo kimenikwamisha.msada wenu nautegemea
 
Kwa kukusaidiatu Tia-ada ni 1.2M plus reg&nacte fees ni 1.25M. Kuhusu HESLB sijui kitu.Kuna dogo nilimpeleka hapo Tia
 
Back
Top Bottom