Nisaidieni hapa

madata84

Member
Jan 17, 2011
49
2
Naomba mnisaidie wapendwa nimemaliza diploma ya social science ambopo ina masomo kama vile sociology, psychology, methods of social science research, field work and field report writting, haya ni baadhi kwa yoyote atakayeguswa anisaidie hata kwa ndugu jamaa anayemjua ataweza kunisaidia awasiliane nami kwa email yangu madata84@yahoo.com.
 
mzee kama uwezo uko.unganisha degree then ndo utafute kazi.me nahic ukianza kuikamata cash.mzuka wa elimu utapotea.
 
Mkuu kila kitu malengo cwezi kunogewa na pesa kama vp unamichongo ya kazi nisaidie
 
Nafikiri ni vizuri zaidi ukitafuta nafasi hizo katika halmashauri za Wilaya kwani kuna upungufu mkubwa wa watu katika kada ya ustawi wa jamii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom