Maombi ya kazi kama Personal Assistant (PA)

Chrispino Henry

Senior Member
Mar 29, 2017
107
66
Nawasilisha hapa ombi kwa yoyote ataeguswa na kunisaidia kupata kazi.

Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26. Nina diploma ya uhasibu.
Ninauzoefu kwa sasa maana field nilifanya
Banc ABC kwenye kitengo cha (sales and logistics) na
Tanzania Breweries Limited (TBL) (Marketing) Internship.
Najitambua vyema na uwezo wangu wa kufikiri ni mpana hivyo inakuaga rahisi kutatua baadhi ya changamoto za kutumia ufahamu.
Nipo smart kichwani mpka muonekano.

Naomba mwenye kazi ambazo anaona naweza nikamsaidia na kuipeleka office kwenye mafanikio fulani naomba awasiliane na mimi.

Nipo tayari kufanya kazi ya namna yoyote ilimradi iwe tu ni halali.

Kwa Sasa napatikana Dar es Salaam ila nipo tayari kufanya sehemu yoyote ndani na nje ya nchi.

Ujuzi wangu
Project Planning and Management
Communication (Public speaking , creative writing, good listener)
Research (data collection, designing data collection tools, data analysis & presentation)
Capacity building
Resource Mobilization
Training & Coaching
Monitoring, evaluation, and learning
Community participation strategies
Content and curriculum development
Proposal Writing
Developing case studies and stories of change
Copywriting & Editing
Campaigns development and follow-up
Social media management
English <> Swahili translation
Microsoft Office (PowerPoint, Outlook, Excel and Word)
Google Drive (Docs, Sheets, Slides, Forms)
Spreadsheets (Excel, Google Sheets)
Digital Communication (Email, Skype, Zoom, Google Hangouts, Microsoft Teams)

Aliye tayari kunipa support yoyote, tuwasiliane 0787404404 what's app/PM au kwa email:chrispino.henry@gmail.com[/email
 
Utakuwa umesoma cbe au Ifm

Kaka mtu akisoma hivyo vyuo inakuaje, maana me dada angu amesoma CBE na hakukaa ata miaka miliwi hom aliajiriwa fastaaaa.Tatizo linakua wapi boss. Alaf kuhus kazi ni wewe na mungu na bahati yako...kama sio yako hupat
 
Kama uko vizuri kwenye masoko na mauzo na kama unaweza kuuza vitabu na ukalipwa kwa kamisheni tuwasiliane.
Ni vitabu vya maendeleo binafsi.
Leads tayari zipo, ni wewe kuwez kuconvert.
Njia kuu ni kupiga simu na kwenda ana kwa ana.
Nakuwekea orodha ya vitabu hapo chini.
Karibu.

💥VITABU VYA KOCHA DR. MAKIRITA AMANI.

Hapa ni orodha ya vitabu vilivyoandika na Kocha Dr Makirita Amani na jinsi unavyoweza kuvipata.

VITABU VILIVYOCHAPWA;

Vitabu ambavyo vimechapwa na vipo kwenye mfumo wa nakala ngumu ni kama ifuatavyo;

1. ELIMU YA MSINGI YA FEDHA (BASIC FINANCIAL EDUCATION); Maarifa Sahihi Ya Kifedha Yatakayokufikisha Kwenye Utajiri Na Uhuru Wa Kifedha. – Tsh 20,000/=

2. BIASHARA NDANI YA AJIRA; Mwongozo Wa Kuanzisha Na Kukuza Biashara Yako Ukiwa Kwenye Ajira (Toleo la Pili). – Tsh 20,000/=

3. ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA; Jinsi Ya Kuanza Na Kukuza Biashara Yenye Mafanikio Makubwa. – Tsh 20,000/=

4. UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA; Tambua Uwezo Mkubwa Wa Akili Na Mwili Wako Na Jinsi Ya Kuutumia Kutenda Miujiza. – Tsh 20,000/=

5. EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI; Jinsi Teknolojia Mpya Zinavyokufanya Mtumwa Na Njia Za Kuondoka Kwenye Utumwa Huo. – Tsh 20,000/=

6. MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO. – Tsh 20,000/=

VITABU NAKALA TETE (Softcopy).

Hivi ni vitabu ambavyo vipo kwa mfumo wa nakala tete na unaweza kusomea kwenye simu au tablet yako. Vitabu vilivyo kwenye mfumo huu ni kama ifuatavyo;

1. KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIYO TAJIRI; Sababu Ishirini Na Tano Zinazokuzuia Wewe Kuwa Tajiri.

2. JINSI YA KUNUFAIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA; Maandalizi, Na Njia Bora Ya Kunufaika Na Mabadiliko Kwenye Maisha, Kazi Na Biashara.

3. JINSI YA KUTENGENEZA PESA KWA BLOG; Jiajiri Na Utajirike Kupitia Mtandao Wa Internet.

4. KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO; Nidhamu, Uadilifu Na Kujituma.

5. MIMI NI MSHINDI; Misingi Ya Kuishi Maisha Ya Ushindi Na Mafanikio Makubwa.

6. BIASHARA NDANI YA AJIRA; Anzisha Na Kuza Biashara Yako Ukiwa Bado Umeajiriwa (Toleo la Kwanza).

7. IJUE BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING); Miliki Biashara Kubwa Kwa Kuanza Na Mtaji Kidogo.

8. PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU; Una Muda Wa Kutosha Kufanya Chochote Unachotaka Kufanya Kwenye Maisha Yako.

9. TABIA ZA KITAJIRI; Tabia Za Kuishi Kila Siku Ili Kupata Utajiri, Mafanikio Na Furaha.

10. SIMU YANGU OFISI YANGU; Jiajiri Na Ingiza Fedha Kwa Kutumia Simu Yako Ya Mkononi.

11. KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kuidhibiti Siku Yako Ili Uweze Kufanya Makubwa Kwenye Maisha Yako.

Vitabu hivi vya nakala tete vinapatikana kwenye SOMA VITABU APP, kuipata app hii ingia kwenye PLAY STORE kisha tafuta SOMA VITABU, app yenye nembo yenye maneno SOMA VITABU ndiyo hiyo, iweke kwenye kifaa chako. Kupata maelezo zaidi ya jinsi ya kuipata na kuitumia app hiyo, fungua www.amkamtanzania.com/somavitabuapp
 
Kaka mtu akisoma hivyo vyuo inakuaje, maana me dada angu amesoma CBE na hakukaa ata miaka miliwi hom aliajiriwa fastaaaa.Tatizo linakua wapi boss. Alaf kuhus kazi ni wewe na mungu na bahati yako...kama sio yako hupat

Hiyo picha uliyopiga ni aura mall so wanafunzi wengi wa cbe na Ifm ndo huwa wanapenda kwenda kupiga hapo
 
Kama uko vizuri kwenye masoko na mauzo na kama unaweza kuuza vitabu na ukalipwa kwa kamisheni tuwasiliane.
Ni vitabu vya maendeleo binafsi.
Leads tayari zipo, ni wewe kuwez kuconvert.
Njia kuu ni kupiga simu na kwenda ana kwa ana.
Nakuwekea orodha ya vitabu hapo chini.
Karibu.

VITABU VYA KOCHA DR. MAKIRITA AMANI.

Hapa ni orodha ya vitabu vilivyoandika na Kocha Dr Makirita Amani na jinsi unavyoweza kuvipata.

VITABU VILIVYOCHAPWA;

Vitabu ambavyo vimechapwa na vipo kwenye mfumo wa nakala ngumu ni kama ifuatavyo;

1. ELIMU YA MSINGI YA FEDHA (BASIC FINANCIAL EDUCATION); Maarifa Sahihi Ya Kifedha Yatakayokufikisha Kwenye Utajiri Na Uhuru Wa Kifedha. – Tsh 20,000/=

2. BIASHARA NDANI YA AJIRA; Mwongozo Wa Kuanzisha Na Kukuza Biashara Yako Ukiwa Kwenye Ajira (Toleo la Pili). – Tsh 20,000/=

3. ELIMU YA MSINGI YA BIASHARA; Jinsi Ya Kuanza Na Kukuza Biashara Yenye Mafanikio Makubwa. – Tsh 20,000/=

4. UNA NGUVU YA KUTENDA MIUJIZA; Tambua Uwezo Mkubwa Wa Akili Na Mwili Wako Na Jinsi Ya Kuutumia Kutenda Miujiza. – Tsh 20,000/=

5. EPUKA UTUMWA WA KIDIJITALI; Jinsi Teknolojia Mpya Zinavyokufanya Mtumwa Na Njia Za Kuondoka Kwenye Utumwa Huo. – Tsh 20,000/=

6. MWONGOZO WA MAISHA YA MAFANIKIO. – Tsh 20,000/=

VITABU NAKALA TETE (Softcopy).

Hivi ni vitabu ambavyo vipo kwa mfumo wa nakala tete na unaweza kusomea kwenye simu au tablet yako. Vitabu vilivyo kwenye mfumo huu ni kama ifuatavyo;

1. KWA NINI MPAKA SASA WEWE SIYO TAJIRI; Sababu Ishirini Na Tano Zinazokuzuia Wewe Kuwa Tajiri.

2. JINSI YA KUNUFAIKA NA MABADILIKO YANAYOTOKEA; Maandalizi, Na Njia Bora Ya Kunufaika Na Mabadiliko Kwenye Maisha, Kazi Na Biashara.

3. JINSI YA KUTENGENEZA PESA KWA BLOG; Jiajiri Na Utajirike Kupitia Mtandao Wa Internet.

4. KURASA ZA MAISHA YA MAFANIKIO; Nidhamu, Uadilifu Na Kujituma.

5. MIMI NI MSHINDI; Misingi Ya Kuishi Maisha Ya Ushindi Na Mafanikio Makubwa.

6. BIASHARA NDANI YA AJIRA; Anzisha Na Kuza Biashara Yako Ukiwa Bado Umeajiriwa (Toleo la Kwanza).

7. IJUE BIASHARA YA MTANDAO (NETWORK MARKETING); Miliki Biashara Kubwa Kwa Kuanza Na Mtaji Kidogo.

8. PATA MASAA MAWILI YA ZIADA KILA SIKU; Una Muda Wa Kutosha Kufanya Chochote Unachotaka Kufanya Kwenye Maisha Yako.

9. TABIA ZA KITAJIRI; Tabia Za Kuishi Kila Siku Ili Kupata Utajiri, Mafanikio Na Furaha.

10. SIMU YANGU OFISI YANGU; Jiajiri Na Ingiza Fedha Kwa Kutumia Simu Yako Ya Mkononi.

11. KANUNI YA SIKU YA MAFANIKIO; Jinsi Ya Kuidhibiti Siku Yako Ili Uweze Kufanya Makubwa Kwenye Maisha Yako.

Vitabu hivi vya nakala tete vinapatikana kwenye SOMA VITABU APP, kuipata app hii ingia kwenye PLAY STORE kisha tafuta SOMA VITABU, app yenye nembo yenye maneno SOMA VITABU ndiyo hiyo, iweke kwenye kifaa chako. Kupata maelezo zaidi ya jinsi ya kuipata na kuitumia app hiyo, fungua www.amkamtanzania.com/somavitabuapp

Bro unapatikana wapi?
 
Naitwa Joyce naishi kahama, umri miaka 26, natafuta kazi ya kuuza duka lolote, hata km ni uwakala wa mpesa, tigo pesa na Airtel money, naomba Kwa mwenye kuhitaji msaidizi wa duka anijulishe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom