Nisaidieni hapa nimjibu nini huyu jamaa ? Mie domo limejaa mate !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Wadau
matarajio nyie na Sensa zenu hamjambo.
Ni punde hivi jamaa yangu kanitumia msg akinipa homework nimpe wasifu wa hawa watu wafuatao ;
1. REMMY ONGALA
2. ANNA MAKINDA
3. PETER MIZENGO
4. STEPHEN WASSIRA
5. BI, KIDUDE
6. MPOKI
Wadau kifupi wasifu wa hao watu bado unanipa shida.
Si mnisaidie basi wajemeni !
 
..naskia pinda alienda wap sjui kuzindua mrad wa kisima cha maji...!??

Naishia hapo..anaejua amalizie.
 
..naskia pinda alienda wap sjui kuzindua mrad wa kisima cha maji...!??

Naishia hapo..anaejua amalizie.

....baada ya kufika kisimani akaona taswira ya sura yake ndani ya maji,
kisha akaulizaje vile...!!?

Naishia hapo...anaejua amalizie.
 
Ahaahahaa...
Cpati picha hiyo namba 4 inavyokaribia kupiga/piga naniliuu
 
hahahhahahaa hahahahaaaaaaaaa hahahahhhaaaaaaaaaaaaaaa kha? pinda akaona mamba kisimani kumbe ni taswira yake hahahahahahhaaaaaaaaa
 
MIZENGO PINDA

1:mtu mwenye huruma sana kuonesha hilo baada ya kuzidi mauji ya ndugu zetu walemavu wa ngozi alipendekeza wahusika wanyongwe.

2. Ni muoga sana. Akiona mambo yamekuwa si mambo hasa bungeni ana mwambia spika atafute mtu mwingine wakujibu maswali yeye atakuwa kwenye ziara.

3. Ni mtu mwenye majibu yasiyo chosha wasikilizaji mfano akiona mambo yame haribika usema kwa kifupi tu "liwalo na liwe"

4. Ana kipaji cha kuigiza sana ukitaka kujua ana kipaji huyu mh mambo yakiharibika yeye uja na style ya kulia alaf wote mtasikia huruma na kufungaa mjadala.

5. Ni mwanasiasa ambaye ana jipambanua kupenda kilimo kwani wazazi wake ni wakuli ndio maana hata yeye ujiita mtoto wa mkulima.

6. Ni mtu anayechukia rushwa sana kwani alisema akichukua rushwa afe papo hapo
 
Mpoki

1. hupenda ajulikane kama Bepari la Kihaya japo hata vogue hana
2. ana misemo ambayo daaaaaaaah tangu kuzaliwa mingine sijawahi isikia
3. hujiita mwarabu wa dubai kwa jinsi alivyo mweusi
4. nadhani yeye ndiye mchekeshaji sana kuliko wengine kwenye kindi la orijino komedi
 
ABDUL NASSIBU 'Diamond'

1. Mtu apendae kujiita Sukari ya warembo wakati hata balehe bado.

2.Ni mtoto aliekulia Mbagala na kuishi Manzese,lakini siku alipohojiwa alisema kweli alikulia Mbagala lakini hakuwah ishi Manzese.

3. Ni mwanamuziki anaependa kuogelea huku kavaa pichu.

4. Ni mtoto wa Mkulima wa Matikiti enzi hzo hata Posta hapajui.

5. Waliwekewa mpambano usio rasmi na Shetta eti nani ana Lip bomba,
sikujua mshindi alikuwa nani.
 
Wangu kwanini judgement ha kuuliza wasifu wako hili mi nishushe notes!

Ila hapo kwa sukari ya warembo umeongea kila kitu!

Mhe. Lawyer , kama sintokosea nadhani unapokua na my wife wako , network ina'evaporate! Waweza quote hapo nilipomuuliza wife wako wasifu? Ungenisaidia kunisafishia file! Sanjari na rejeo kwamba nami nina mke hapa! Because probably it may coz interrogation to my wife !
Be care ! Utaja endelea kujimix zaidi .
 
duh ruttashobolwa elimu yako unaitumia vizur sana. kujua wasifu wa mh. pm si jambo rahisi. big up sana my lawyer!
 
Last edited by a moderator:
Ok sorry nilikuwa na maanisha kwa nini hukuuliza ili ni tiririke?

Si unajua tena!

Pole kwa usumbufu if you won't mind i will compasate!
Mhe. Lawyer , kama sintokosea nadhani unapokua na my wife wako , network ina'evaporate! Waweza quote hapo nilipomuuliza wife wako wasifu? Ungenisaidia kunisafishia file! Sanjari na rejeo kwamba nami nina mke hapa! Because probably it may coz interrogation to my wife !
Be care ! Utaja endelea kujimix zaidi .
 
Mpoki

1. hupenda ajulikane kama Bepari la Kihaya japo hata vogue hana
2. ana misemo ambayo daaaaaaaah tangu kuzaliwa mingine sijawahi isikia
3. hujiita mwarabu wa dubai kwa jinsi alivyo mweusi
4. nadhani yeye ndiye mchekeshaji sana kuliko wengine kwenye kindi la orijino komedi

hiyo na. 2 hata me inahusu sana!
 
Back
Top Bottom