Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 29,967
- 32,263
Mzima lakini?
Umesahau penzi ni kikohozi?
Anatutiliakiwingu tu hapa.
Mzima lakini?
Umesahau penzi ni kikohozi?
Ok sorry nilikuwa na maanisha kwa nini hukuuliza ili ni tiririke?
Si unajua tena!
Pole kwa usumbufu if you won't mind i will compasate!
naomba nikupe wasifu mmoja wa na. 2.
huyo ni gumegume na mbabe ndo mana hapati wa kumsogeza ndani!!!!!
ivi humu mnafuga mamba?