RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,424
Habar zenu wangwana humu ndani! Na2main mpo poa, na kwa wale wanaojisikia vibaya poleni..Sasa nina rafiki yangu wa kike hapa chuoni, ambae anapend sana kunishirikish katik mambo yake kama marafiki lakini kuna ki2 kimoja kinanitatiz katik matumizi yake.. Yeye hachukui mkopo ila BABA yake ndo anamlipia, sasa mzee wake alim2mia sh. 500,000 kwa ajili ya kulipa ada nusu ya ile anayodaiwa, lakini baba yake akamwambia atoe kiasi cha sh. 470,000 halaf elf 30,000 ai2mie kwa mda wa kama wiki halaf atam2ia laki nzima baadae, lakin cha kushangaza kila mara huyu bint ninapomshaur atumie pesa yake vizur ili asubir hyo pesa ambayo baba yake atam2mia ndo hata hakuelewi, sasa ajaenda kulipia hiyo ada na anakula ile pesa, mi napenda kwend mjin kwa ajil ya shughul zangu,bas ndo huwa achok kuniagiz na Atm card yake."oh leo nilete sh.20,000" baad ya sik moj imeisha, unamkuta anakula chips,mayai na kitimoto..ukimwambia..Sasa kashamaliza kama laki 2, na haujapita hata mwezi, nikimuuliz hana cha kusema....! Ushaur nimempa wa kutosha lakin hata haeleweki.. Sipend m2 anae2mia pesa bila kujiuliz mzaz wake anatesekaje huko..sasa ninatak ushaur kutok kwenu wanajamii nimwambieje ili aelewe? .. Asanteni.