Nisaidie mwenzenu

chimala

Senior Member
Jul 2, 2010
156
30
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa nikamwambia kama kweli ananipenda basi tuendelee kama tulivyokuwa, akasema bado ananipenda ila anataka tufahamiane vizuri zaidi, na kwa kuwa hatukuwahi kudumisha mila akasema itakuwa rahisi kuwa marafiki wa kawaida tu, kwa mawazo ya haraka nikahisi hanitaki tena, na inawezekana ameshaanza kuona mtu mwingine huko nje,inside my heart nimeshindwa kabisa kufanya hiyo transition ya from lovers to just friends, swali langu kwa wapendwa wanajamii should I beleave him, any advice
 
sasa wewe ugumu uko wapi? sababu ya yeye kusema hivyo unaifahamu? au umemuuliza ni kwa nini amemua hivyo? piga moyo konde....mpotezee
 
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa...
Sasa tatizo ni nini, si ukubali tu...! Kama wewe ni jinsia ya kiume basi ushauri ni kupeleka posa kwao, kisha subiri uone kama utakataliwa...!
 
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa nikamwambia kama kweli ananipenda basi tuendelee kama tulivyokuwa, akasema bado ananipenda ila anataka tufahamiane vizuri zaidi, na kwa kuwa hatukuwahi kudumisha mila akasema itakuwa rahisi kuwa marafiki wa kawaida tu, kwa mawazo ya haraka nikahisi hanitaki tena, na inawezekana ameshaanza kuona mtu mwingine huko nje,inside my heart nimeshindwa kabisa kufanya hiyo transition ya from lovers to just friends, swali langu kwa wapendwa wanajamii should I beleave him, any advice

Kama wewe ni mdada basi jua jamaa anataka kudumisha mila,kwa hiyo ni vizuri ukakubaliana na wazo lake ili uonemwisho wake utakuwa nini,hii ni kwa ajili ya mustabali mzima wa maisha na usalama wako.
 
kwa kuwa hatukuwahi kudumisha mila akasema itakuwa rahisi kuwa marafiki wa kawaida tu, kwa mawazo ya haraka nikahisi hanitaki tena, na

Sina uhakika, ila naweza sema wewe ni msichana (Sorry kama nimekosea). Ushauri wangu ni kuwa, sidhani kama ni kwamba ameona mtu nje, ila kuna kitu anahitaji toka kwako. Kama hamjadumisha mila mpaka leo hii, naweza hisi ndio sababu. Ujumbe anaokupa hapo ni "KAMA HATUDUMISHI MILA, JUA MIMI NA WEWE BASI".

Huu ni mtihani mgumu sana kwa wanawake. Wengi huishia kuwapa kile wanaume wanachotaka kulinda penzi - So hapo kazi kwako!
Na hata kama utampa anachotaka, kutokana na hizo janja zake, uwezekano mkubwa ni kwamba atakutupa njiani baadae - na hapo sijui utampa nini kingine ili abaki.

Anyway, kwa kifupi, kwa mtu unayempenda hizo mbinu si za kiungwana. Me mbona msichana wangu bado (hajawahi) na tupo muda mrefu sasa kama wapenzi. Nampa nafasi afanye maamuzi mwenyewe. Cha msingi ni uaminifu!
 
Mmmh!!! kuna kudumbukizana mashimo tuliomo
Sina uhakika, ila naweza sema wewe ni msichana (Sorry kama nimekosea). Ushauri wangu ni kuwa, sidhani kama ni kwamba ameona mtu nje, ila kuna kitu anahitaji toka kwako. Kama hamjadumisha mila mpaka leo hii, naweza hisi ndio sababu. Ujumbe anaokupa hapo ni "KAMA HATUDUMISHI MILA, JUA MIMI NA WEWE BASI".

Huu ni mtihani mgumu sana kwa wanawake. Wengi huishia kuwapa kile wanaume wanachotaka kulinda penzi - So hapo kazi kwako!
Na hata kama utampa anachotaka, kutokana na hizo janja zake, uwezekano mkubwa ni kwamba atakutupa njiani baadae - na hapo sijui utampa nini kingine ili abaki.

Anyway, kwa kifupi, kwa mtu unayempenda hizo mbinu si za kiungwana. Me mbona msichana wangu bado (hajawahi) na tupo muda mrefu sasa kama wapenzi. Nampa nafasi afanye maamuzi mwenyewe. Cha msingi ni uaminifu!
 
Recently mpenzi wangu kaniambia kwamba anataka kushift mapenzi yetu from lovers to just good friends, sikukubalianaa nae kabisa nikamwambia kama kweli ananipenda basi tuendelee kama tulivyokuwa, akasema bado ananipenda ila anataka tufahamiane vizuri zaidi, na kwa kuwa hatukuwahi kudumisha mila akasema itakuwa rahisi kuwa marafiki wa kawaida tu, kwa mawazo ya haraka nikahisi hanitaki tena, na inawezekana ameshaanza kuona mtu mwingine huko nje,inside my heart nimeshindwa kabisa kufanya hiyo transition ya from lovers to just friends, swali langu kwa wapendwa wanajamii should I beleave him, any advice

Watu wengine bwana....:A S confused:... Labda mwenzio anakuepusha na mengi we unang'ang'ania....
 
Tatizo lako mchoyo umemnyika kudumisha mila ndo maana ameomba basi muwe marafiki tu maana haina haja ya kuwa wapenzi huku ukimnyima jamaa kumega hii haina maana kabisa ningekuwa mm ningekuomba bora tuwe kaka na dada tu kieleweke na si wapenzi. Uchoyo haufai kwenye mahusiano peaneni jamani, jamaa afanye penzi binafsi mpaka lini?
 
Back
Top Bottom