Nisaideni kuwezesha Nokia X2-01 kuconnect internet via tiGO

Chal

Senior Member
Oct 7, 2010
128
52
Wadau, nina tumia line ya tigo katika simu yangu Nokia X2-01 ambayo imetengenezwa china under licence lakini cha ajabu simu hii haikubali ku connect internet inaniambia Link not available. Nimeenda ofisi za tigo kadada kamoja kakasema eti simu yangu haikubali. Line zingine kama vodacom na airtel zinakubali bila shida
Msaada wenu wadau
 
Menu>Settings>Configuration>Personal Settings>Options>Add new>Web u can change the name nd fill up the homepage or u can just leave t like that nd back all the way to Configuration then open Default config. setting where u will find Personal config. Click Details nd make t default configuration!! Ukifanya hivi unaweza kufungua net kwa lain yoyote bila kubadili kitu unatoa line na kuweka nyingine afu unafungua net bila kubadili kitu! Nasubiri jibu lako
 
Juzi nimenunua X2 nikapata tatizo kama lako. Nilipo jiunga internet bundle ya tigo nikaanza kupata internet kama kawa!
 
good guy sijafanikiwa mkuu bado inanambia Service not available.
 
Dah! Hata mimi natumia X2- 01 ya hungary,net mpaka nifungue opera mini nkifungua home page au page ya nokia inakataa inasema service is not available,nimewacheki tigo wanadai system yao inamatatizo wanalishughulikia kwa sasa!
 
good guy sijafanikiwa mkuu bado inanambia Service not available.
fuata hizi steps kwa makini
1-settings
2-configuration
3-ingia default confg. setting then chagua personal confg.
4-back ingia personal accounts- add new chagua Web - account name andika tigoweb -homepage andika Google - user name na passwd achana nazo then save.
5-rudi ad main menu ingia internet - web settings - configuration settings - ichagulie personal confg. - account chagua tigoweb
6- enjoy your day
 
Menu>Settings>Configuration>Personal Settings>Options>Add new>Web u can change the name nd fill up the homepage or u can just leave t like that nd back all the way to Configuration then open Default config. setting where u will find Personal config. Click Details nd make t default configuration!! Ukifanya hivi unaweza kufungua net kwa lain yoyote bila kubadili kitu unatoa line na kuweka nyingine afu unafungua net bila kubadili kitu! Nasubiri jibu lako

Wow! That's great. It worked, am using NOKIA X7, I had trouble with tiGO Internet connection and called their call center but advised to visit the shops/offices. I have used the simple methods given above and now am online with my phone with any sim card. Thank you, appreciated.
 
happy 2 help anytime,pa1 mkuu
 
Back
Top Bottom