Usipo respond, uta bipiwa weee! ukipiga nirushie vocha basi
Hii 'tabia' hata mimi inanikera sana.....mbaya zaidi hata ukitumtumia, akitaka kuwasiliana na wewe ana kubeep tu always!
mtu anaku beep unampigia unamuuliza shida yake
anakuomba vocha,
unamtumia vocha..
halafu ana ku beep tena..
unapiga ,anakwambia asante nimepata....
yaani niku beep kwa kwenda mbele
hii ni atariii tabia wanazoo mabinti sanaaa
duh! Hao kweli noma.