Nirushie vocha!

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
Siku hizi haombwi mtu hela ya chips ni vocha kwenda mbele. Hivi, kuna haja ya kuwa na simu ya mkononi au kumnunulia mtoto simu wakati hauna uwezo/hutaki kununua/kumnunulia vocha? Vipi mmeshakutana na hii?
 
Mwenye namba 0713 000000 anaomba umtumie muda wa maongezi. kutuma piga *101*0713000000*500.

Nachukia hii sms ikija kwenye simu yangu...........................

Usipo respond, uta bipiwa weee! ukipiga nirushie vocha basi
 
Hii 'tabia' hata mimi inanikera sana.....mbaya zaidi hata ukitumtumia, akitaka kuwasiliana na wewe ana kubeep tu always!
 
Hii 'tabia' hata mimi inanikera sana.....mbaya zaidi hata ukitumtumia, akitaka kuwasiliana na wewe ana kubeep tu always!

hahhahah hii imenikumbusha mbaaaali
jamaa anasema 'nitumie vocha ya elfu mbili'.hehehhe likubwa lizima
 
Hii 'tabia' hata mimi inanikera sana.....mbaya zaidi hata ukitumtumia, akitaka kuwasiliana na wewe ana kubeep tu always!

Hiyo vocha uliotuma anakipigia ki-serengeti boiz!
 
hahhahah hii imenikumbusha mbaaaali
jamaa anasema 'nitumie vocha ya elfu mbili'.hehehhe likubwa lizima

Ukisema sina utasikia, hata miatano basi, ilimradi likukone tu.. teh teh
 
mtu anaku beep unampigia unamuuliza shida yake

anakuomba vocha,

unamtumia vocha..

halafu ana ku beep tena..

unapiga ,anakwambia asante nimepata....

yaani niku beep kwa kwenda mbele
 
mtu anaku beep unampigia unamuuliza shida yake

anakuomba vocha,

unamtumia vocha..

halafu ana ku beep tena..

unapiga ,anakwambia asante nimepata....

yaani niku beep kwa kwenda mbele

duh! Hao kweli noma.
 
mtu anaku beep unampigia unamuuliza shida yake

anakuomba vocha,

unamtumia vocha..

halafu ana ku beep tena..

unapiga ,anakwambia asante nimepata....

yaani niku beep kwa kwenda mbele

Ha ha haaa! The boss inaboa saaana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom