Nipo safarini naenda Bukoba kikazi. Mwenye kujua lodge au hotel nzuri tafadhali

Usisahau kutembelea hapa

Screenshot_20230912-143313.jpg
Screenshot_20230912-143309.jpg
Screenshot_20230912-143217.jpg
Screenshot_20230912-143237.jpg
Screenshot_20230912-143227.jpg


Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kadri nilivyosoma na kupitia huu Uzi, nimehamasika kutembelea Bukoba.

Lakini kubwa zaidi, naomba nikiri Mpwayungu Village amekomaa na kujitambua sana, watu wamejitahidi kumtoa kwenye reli lakini amebaki kwenye mstari na kutokuyumbishwa, amejibu watu wengi kistaarabu hata wale walio mkejeli na kujaribu kumdhalilisha. Hongera sana Mkuu.
Nikutakie majukumu mema huko uendako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom