Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni ripoti za mastaa wetu idd hii

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by yangoma, Sep 2, 2011.

 1. yangoma

  yangoma Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wan JF kwema haya hawa jamaa wameleta vibweka gani huko mtaani maana wanaongeza kasi ya umaarufu kwenye magazeti kwa vituko vyao
  nawasilisha
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,563
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  hbu nenda globalpublishers.com...................kachukue umbea huko,kwanza bongo hakuna mastaa
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 16,435
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Aaah wapi,hawa wauza sura wa mjini?
   
 4. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,007
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Star bongo au ****** ktk usanii hawana lolote hao ni wauza sura tu na kutafuta umaarufu wa kuwa na vibaloon na viGX 100 BASI WANAJIONA MASTAR
   
 5. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,959
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Ma star wapi mkuu?Bongo hakuna mastaa kuna wauza sura na wapenda sifa tu,hawana lolote shida tu.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,200
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 160
  Yangoma ilitakiwa uwasilishe tukio moja then na sie tuendeleze....
   
Loading...