Nipeni pole..,niko frustrated naombeni ushauri na faraja

Chapa lapa tulishakushauri,maana ulisema ulimwona anakukimbia ukaamua kumdai pesa zako,na baada ya hapo ukaendelea kumtunza kama kawaida, mi naona nyie tabia zenu haziendani ndio maana msichana anakukimbia, anza upya acha kulia wakati hamkufikia mbali sana tulia then utafute mwingie

Pole sana mkuu kwa mkasa, huyo achana nae na akiwa na shida mpotezee tu. Tafuta mwingine!

UMEONGEA VYEEEEEEEMA

nahis ddemu ameboreka na icho cha kudaiana pesa...yale ya kitoto mkigombana kdg...nipe picha zangu..nirudishie chen yangu..nirudishie boksa yangu niliokununulia...WAKAT WENZAKO UKO FULL KUONGA..ata io ulomkopesha labda alikuwa anaona ndgo n still bado unamdai ehh demu akaona apa akuna maisha..sasa km tunadaiana itakuwaje?inamaaana awez kunisaidia uyu?sa boyfrend gan uyu...na apo apo labda kulikuwa na njemba full kudondosha sent ata km ndogo lakin aonyesha dalili za kudai...sa ata km ungekuwa wewe ungefanyaje?

USIMDAI DEMU PESA...yaaan dah sjui anakuonaje..yaan uyu kweli ananidai pesa..sasa nikiumwa kweli ataweza kunisaidia?mtu ukiwaza ivo tu unaona ahh akwende zake mchumba gan uyu

wanaokopeshana nia wachache tena washaelewana wamekaa mda mrefuuuu so ni km mahaba tu ..lakin sio katika hali ya mtu anashda tena anasoma ..HANA KIPATO..anakukopa pesa afu we unamdai..afu apo apo wajifanya unampenda..mhh upendo gan sasa u?

ashaondoka uyo

lakin kakupa lesson..usirudie tena.

ungesoma ile thread ya kwanza ungemuelewa. Jamaa alikuwa na kila sababu ya kudai, kwani jamaa alikuwa ana kazi na hiyo pesa alíiotea kimbinde, sasa mwanamke asiyejua uko ktk hali gani na kutokuwa na chembe ya huruma wa kazi gani?

Kama mtakumbuka,miez michache iliyopita nilileta thread ya kuhusu mpenz wangu kubadilika huko chuon alipo moshi,sababu kubwa alisema ni kwa vile nilimdai pesa niliyomsaidia kulipa ada ingawa tulikubaliana nimuazime then atarudisha,na hiyo ilitokea baada ya kumuona amebadilika majibu yake kwenye simu na kusema yuko busy,sasa nimekuja moshi alipo lakin hatak kunionyesha anapokaa off campus na wala hakutaka kuongea na mm kwa kirefu akidai kuwa nimsubir akiwa likizo aongee na mama ake ndio aconclude,badae akaniambia its over ila tubak friends tu! Lakin marafik zangu na ndugu wanaomfaham wajue kama ameamua hivyo,nikajaribu kuulizia kwa rafik yangu ambaye ni mwalimu wake inaonekana kuna posibility ya kuwa amepata mtu,sasa je niendelee kumsikiliza anapokuwa na shida? Mana anaendelea kunitafuta akiwa na shida ila mapenz na mm hatak tena,
Pole sana kaka, vipi ushapata kazi? Haya yanatokea na yanawakuta watu. Huna sababu ya kuchanganyikiwa, najua ni ngumu kuyazuia maumivu yaache na yatapita. Anza leo hili zoezi, futa namba zake zote, kama una picha zifute pia, ni ngumu lakini kadri muda unavyokwenda utazoea na utamsahau, hakika nakuambia kwani ilinitokea japo ilikuwa early stage, niliweza na maisha yanaendelea bila yeye.

Mbona unamchelewesha? Mwambie live huna haja ya penzi la kununua. Kama mlikubaliana umkopeshe hukufanya kosa kumdai hela yako.. Wapenzi wanatakiwa kuwa wakweli, kama unajua hutalipa muombe mwenzako msaada atakusaidia, siyo kujidai unakopa kumbe moyoni unajua unamtapeli.. Yaani huyo hata akili ya kawaida tu hana... kama kweli amepata anayemhonga angekulipa hela yako ili aendelee kukuomba msaada akipata shida.

Kama mtakumbuka,miez michache iliyopita nilileta thread ya kuhusu mpenz wangu kubadilika huko chuon alipo moshi,sababu kubwa alisema ni kwa vile nilimdai pesa niliyomsaidia kulipa ada ingawa tulikubaliana nimuazime then atarudisha,na hiyo ilitokea baada ya kumuona amebadilika majibu yake kwenye simu na kusema yuko busy,sasa nimekuja moshi alipo lakin hatak kunionyesha anapokaa off campus na wala hakutaka kuongea na mm kwa kirefu akidai kuwa nimsubir akiwa likizo aongee na mama ake ndio aconclude,badae akaniambia its over ila tubak friends tu! Lakin marafik zangu na ndugu wanaomfaham wajue kama ameamua hivyo,nikajaribu kuulizia kwa rafik yangu ambaye ni mwalimu wake inaonekana kuna posibility ya kuwa amepata mtu,sasa je niendelee kumsikiliza anapokuwa na shida? Mana anaendelea kunitafuta akiwa na shida ila mapenz na mm hatak tena,

Sio miezi michache. Ilikuwa mwezi uliopita tuu. Au nikupe link ya thread yako? Kwenye ile thread nyingine uliyonzisha ulishauriwa badala ya kuhangaika na mwanamke ambaye ameshakuambia hakupendi, utakatafute kazi kwanza. Tayari umeshapata kazi? Yaani pamoja na ushauri wote uliopewa wa kuachana na huyo mwanamke na kutafuta kazi kwanza, umeamua kusafiri mpaka Moshi kwa ajili ya mwanamke? halafu unakuja kuhadaa na thread nyingine hapa. Ama kweli dua la kuku halimpati mwewe. Nakupotezea kama alivyokupotezea. It is over!

WE NAWE KHAAA! HUTAKIWI BADO UNAJING'ANG'ANIZA. MAMBO MENGINE YA KUJITAKIA. ENDELEA KUWA 'msukule' WA HUYO DADA, UKIPATA AKILI UTAKUTA ANAOLEWA!

ungesoma ile thread ya kwanza ungemuelewa. Jamaa alikuwa na kila sababu ya kudai, kwani jamaa alikuwa ana kazi na hiyo pesa alíiotea kimbinde, sasa mwanamke asiyejua uko ktk hali gani na kutokuwa na chembe ya huruma wa kazi gani?

NILIMSOMA...WOTE WANA MATATIZO

katika hali yeyote mwanaume kumdai pesa demu wako ahh hainog...uenda demu alchafua hali ya hewa bt stl ujui kwa nini alifanya ivo..JMAA ANGETAFUTA SULUHISHO LAKIN SI KUMDAI AMRUDISHIE PESA YAKE..poa dada karudisha sasa anamsumbua nini?

WOTE WANA MATATIZO...MKIGOMBANA KDG UANZE KUDAI VTU VYAKO YAHUUU?..si hulka ya kiume..mademu tena wale wa uswahilin ndo wana swaga izo ..akawii kuja na matarumbeta kuchukua mapazia aliyokunulilia mwakajuzi wakat mnaanza mahaba..

Naona kama unatengeneza mazingira ya kunizika pesa yangu.

kweli huyo dada takuwa anamatatizo hivyo kama haoni nini ulichomfanyia nakushauri achana naye Mungu atakusaidia utapata mwingine

Kama mtakumbuka,miez michache iliyopita nilileta thread ya kuhusu mpenz wangu kubadilika huko chuon alipo moshi,sababu kubwa alisema ni kwa vile nilimdai pesa niliyomsaidia kulipa ada ingawa tulikubaliana nimuazime then atarudisha,na hiyo ilitokea baada ya kumuona amebadilika majibu yake kwenye simu na kusema yuko busy,sasa nimekuja moshi alipo lakin hatak kunionyesha anapokaa off campus na wala hakutaka kuongea na mm kwa kirefu akidai kuwa nimsubir akiwa likizo aongee na mama ake ndio aconclude,badae akaniambia its over ila tubak friends tu! Lakin marafik zangu na ndugu wanaomfaham wajue kama ameamua hivyo,nikajaribu kuulizia kwa rafik yangu ambaye ni mwalimu wake inaonekana kuna posibility ya kuwa amepata mtu,sasa je niendelee kumsikiliza anapokuwa na shida? Mana anaendelea kunitafuta akiwa na shida ila mapenz na mm hatak tena,
Usisubiri kuumiza moyo wako zaidi. Chapa lapa

Achana nae bwana na usikubali akufanye kitengo cha misaada pindi apatapo shida. Mpotezee kamili.

me nahisi kumdai hizo pesa sio vibaya as longer as mulikubaliana maybe, im not sure on other point ,kama mulikua wapenzi ,second huyo si mtu wa kumsaidia at all '' kama shubiri kitoeleo mwache na yeye atoee,, anakuona wewe muhimu kwenye shida tu ? hajui alipo ku dump umeumia kiasi gani? na kama urafiki mbona hakusema apo zamani ambapo hamja pendana? achana nae ,, kabisaa haina haja ya kumpa support anakutega huyo ana kuona rahisi ,,

Back
Top Bottom