Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

Appen, toloka, picoworker ingawa toloka na picoworker ni nzuri maana zinalipa kwa skrill hamna longolongo, lakini changamoto ndo hivyo pesa kidogo $2 mpaka 10 kwa siku.
Watu huwa wanafanikiwa kutoa pesa?

Unaweza kutoa kila siku? Au unatoa mpaka kifike kiwango maalum?
 
Beginner

enrollapp.com

Legend

We Test.com
Testerwork.com
Usercrowd.com

Nahitaji

Bando La Muda Wote Online
Strong Reliable VPN
Lain Ya Safar Com Kenya
Kuwa Smart Kwenye Kufanya hizo Kazi

Fuatilia hayo Utanikumbuka
Umeweka kwa kificho kama vile hutaki wengi wajue.

Hizo beginner na legend ni level?
 
Hii hapa inaitwa Picoworker, ni kama zilivyo site nyingine zinatofuta watu wa kufanya task ndogo mpk kubwa na wanalipa kulingana na kazi. Kuna task nyepesi, km za kulogin kwenye website, kualika facebook friends walike page fulani ya matangazo, kufanya review ya apps na hizi za SEO.

Nimeona kuna wabongo wenzetu na washapiga hela lkn sijawahi sikia wakiinadi popote hii site, nmekuwekea baadhi ya screen shot za baadhi ya kazi. soma maelekezo vizuri ya mtoa kazi kabla hujaanza kazi yoyote ama sivyo hatakulipa na utaishia kusema ni scam.

Kazi za online zinahitaji ujinoe mara kwa mara kulingana na kazi zilizopo, vitu vingi ni hujawahi hata kuvisikia.
Karibu nimekuwekea link hapa, sign up ni rahis sana, fanya kujisomea namna inavyofanya kazi kabla hujarukia kuanza task.
Small Gigs for Businesses with Jobs for Freelancers | Picoworkers

Screenshot_20220317-072324.png


Screenshot_20220317-072311.png


Screenshot_20220317-072215.png


Screenshot_20220317-071826.png
 
Kuna mdau hapo juu ka-recommend Picoworkers na mimi nakushauri utumie hiyo, kwanza wana njia za malipo zinazofanya kazi TZ (Skrill)

Hapo sasa wewe tumia muda wako ujifunze jinsi inavyofanya kazi, cha muhimu usifanye kazi zenye malipo zaidi ya siku 1 au 2 utachelewa kupata pesa yako. Kuna kazi unaweza subiri mpaka wiki ndiyo ulipwe sasa hizo usifanye. Pia fanya tasks nyingi uwezavyo kupata hiyo $2 / day.

Hii hapa screenshot ya kuthibitisha malipo niliyopokea kutoka Picoworkers kupitia Skrill.
Screenshot_20220317-090716_Skrill.jpg
 
Back
Top Bottom