Nipeni njia ya kuingiza $2 online kwa siku

sometimes bitcoins zina mambo ya referral. telegram mara kibao natumiwa message na hawa referrees. imekuwa ni usumbufu.

mara nyingine unashangaa upo kwenye group/channels za bitcoins halafu aliyekuunga humjui, uki-leave kesho yake utajishangaa upo kwenye group lingine la bitcoins.
Akili kumkichwa apo
 
Hata Mimi najua ivyo! Mpaka u connect na namba ya Kenya
Ni mzunguko sana kuwithdraw pesa kutoka paypal, naonaga watu wanatumia complications kibao ambazo kila nikijaribu kutulia sizielewi.

Wenzangu na miye wa tab kiddies (tunaojua vitu kupitia google), tusubirini njia rasmi, japo itakuwa mwaka 2090
 
wabongo ni wachoyo sana kukupa siri ya hatua zote za mafanikio. tangu uzi uanze aliyetoa jibu sahihi kwa mujibu wa swali langu ni mmoja tu, aliyesema nijaribu appen na oneforma. waliobaki wote wanazunguka tu
Jaribu pia PREMISE ni App kuna survey na Tasks malipo yataingia kama vocha kwa namba yako ya simu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Yaani unakuwa umekaa tu pesa inaingia yenyewe?
Bila shaka hujaainisha anataka kipato cha namna gani ... anachotaka yeye ni 2$ per day.

Haijalishi iwe in passive income, au active income. .

Au na mimi sijamuelewa vizuri Mkuu?
 
wabongo ni wachoyo sana kukupa siri ya hatua zote za mafanikio. tangu uzi uanze aliyetoa jibu sahihi kwa mujibu wa swali langu ni mmoja tu, aliyesema nijaribu appen na oneforma. waliobaki wote wanazunguka tu
Mkuu usipende kuwa mtu wa lawama, shukuru kwa msaada wowote utaopata hata kama ni mdogo..!

Kuponda wakuwa "wabongo ni wachoyo" - haitakusaidia kwa lolote.

Njia nzuri na za uhakika , kuteng4neza kipato kizuri .. ni kuanzisha media kupitia social media/network

Mfano: YouTube =hapa baada ya muda utapata ads revenue,

Lakini vile vile utaweza kufanya

Affiliate marketing, kwa kutangaza /kuuza phyiscal/ digital product hata kama sio zako!!

Na pia unaweza ingia mikataba na kampuni kadhaa kuwa tangazia bidhaa kwenye video zako/ insta /fb pages na ukapata pesa nzuri..
 
Mkuu usipende kuwa mtu wa lawama, shukuru kwa msaada wowote utaopata hata kama ni mdogo..!

Kuponda wakuwa "wabongo ni wachoyo" - haitakusaidia kwa lolote.

Njia nzuri na za uhakika , kuteng4neza kipato kizuri .. ni kuanzisha media kupitia social media/network

Mfano: YouTube =hapa baada ya muda utapata ads revenue,

lakini vile vile utaweza kufanya

affiliate marketing, kwa kutangaza /kuuza phyiscal/ digital product hata kama sio zako!!

Na pia unaweza ingia mikataba na kampuni kadhaa kuwa tangazia bidhaa kwenye video zako/ insta /fb pages na ukapata pesa nzuri..
Poa mkuu.

Nisiongee mengi sana.
 
wabongo ni wachoyo sana kukupa siri ya hatua zote za mafanikio. tangu uzi uanze aliyetoa jibu sahihi kwa mujibu wa swali langu ni mmoja tu, aliyesema nijaribu appen na oneforma. waliobaki wote wanazunguka tu
Appen, toloka, picoworker ingawa toloka na picoworker ni nzuri maana zinalipa kwa skrill hamna longolongo, lakini changamoto ndo hivyo pesa kidogo $2 mpaka 10 kwa siku.
 
Back
Top Bottom