Nipeni dili pleaseeeeeeee

SYENDEKE

Senior Member
Jul 18, 2011
169
26
wana jf habari wandugu naomba mnipe dili hapa mjini pagumu kiukweli nakadgreee kangu kauhasibu wandugu mwenye shule, college, tuition center niweze kuwa hata tutorior wanamba, bookkeeping or accounting fleshi maisha yanasonga hata mwenye dili yoyote aweze niunganishe msaada pleaseeeeee am serious but you should be serious also
gud tym
 
form four ulipataga div ngapi?
ulishawahi ku apply kazi mara ngapi
? uliitwa kwenye interview ngapi?
JF ni kila kitu kumbuka unaweza kupata msaada hapa zaidi ya ujuavyo
 
Jamaa ana degree wewe bado unataka kuona majibu ya form 4? Duh kweli hali ngumu Dar.
 
tatizo liko wapi? hujawahi kuajiri?
nataka kuangalia uwiano

Nimeajiri na nimeajiriwa kama mtu ana degree majibu ya secondary/primary ni irrelevant kabisa.

Uwiano wa nini? Labda alikuwa kilaza O Level akakaza buti Uni au opposite, hauwezi kupata conclusion zozote za maana kwa kuangalia uwiano. Ungemwomba na ya primary na vidudu yakusaidie zaidi.
 
kuna degree za kuchakachua. Acha mwajiri aangalie kile kitakachomridhisha.
 
Kila chuo ina kozi ya uhasibu sijui itakuaje na kila mwaka wanatoka.Ukiona mafanikio madogo nenda veta ukapate ufundi uwetofauti kidogo hali si hali kaka assistant accountant mmoja application 2000 hujashtuka bado tena mpaka CPA PP yumo ndani hapo
 
Yani kang unaleta ubishi mpaka huku...kwamba ukiwa na degree hatuangalii nyuma?!wewe sikuwezi....
 
form four ulipataga div ngapi?
ulishawahi ku apply kazi mara ngapi
? uliitwa kwenye interview ngapi?
JF ni kila kitu kumbuka unaweza kupata msaada hapa zaidi ya ujuavyo

duhuuuuuuuuuuuu kazi ipo in short mimi ni kinanda i measure for my self it is one kiki hamna kuunga uungaaa if u have niambie coz mambo mengine ni person sana acha utani
 
Nimeajiri na nimeajiriwa kama mtu ana degree majibu ya secondary/primary ni irrelevant kabisa.

Uwiano wa nini? Labda alikuwa kilaza O Level akakaza buti Uni au opposite, hauwezi kupata conclusion zozote za maana kwa kuangalia uwiano. Ungemwomba na ya primary na vidudu yakusaidie zaidi.
duhuuuuuuuuuuu kazi ipo kwanza sina vyeti vya kuunga uungaa ni direck kiki none stoper
 
wana jf habari wandugu naomba mnipe dili hapa mjini pagumu kiukweli nakadgreee kangu kauhasibu wandugu mwenye shule, college, tuition center niweze kuwa hata tutorior wanamba, bookkeeping or accounting fleshi maisha yanasonga hata mwenye dili yoyote aweze niunganishe msaada pleaseeeeee am serious but you should be serious also
gud tym

Kujiajiri unaweza wewe?Kama unaweza inbox me nikupe michongo. :juggle:
 
wana jf habari wandugu naomba mnipe dili hapa mjini pagumu kiukweli nakadgreee kangu kauhasibu wandugu mwenye shule, college, tuition center niweze kuwa hata tutorior wanamba, bookkeeping or accounting fleshi maisha yanasonga hata mwenye dili yoyote aweze niunganishe msaada pleaseeeeee am serious but you should be serious also
gud tym

mambo!, am looking for someone to do for me some simple online tasks. Payment range from 50 dollar and above per months, all depending on your effort, if you are interested get back to me.
 
form four ulipataga div ngapi?
ulishawahi ku apply kazi mara ngapi
? uliitwa kwenye interview ngapi?
JF ni kila kitu kumbuka unaweza kupata msaada hapa zaidi ya ujuavyo
unataka kufaham jamaa alifika fikaje level ya chuo na kupata degree!!?wabongo bhana.lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom