Niokoeni na ndoto Hizi Mbaya Jamani

KaboloYoung

New Member
Aug 23, 2012
2
0
Mi ni kijana ambae sijawahi kufanya mapenzi bado na sijui ladha yake ikoje. siku hizi nimeanza kupata ndoto mbaya za kuota nafanya ngono halafu najikuta nimelowa maeneo ya ikulu. nilikuwa sijawahi kukutana na hali hii hapo kabla.
Tatizo ni kuwa huwa naota nafanya ngono na mbuzi au kuku tunaowafuga nyumbani. hii ni baada ya kulifukuza jogoo au dume la mbuzi likiwa linapanda nami naanza mambo huku ndotoni. ila naona raha saana nikiota ndoto hizi je hiyo ndio raha ya mwanamke?

ijawahi kabisa kufanya mambo na mwanamke. nifanyeje?
 
pole sana, ila huo ndo mda wake kama zilikuwa hazijawahi kukutokea, mwanamke ana raha yake tofauti na kwenye ndoto, na jaribu kufanya mazoezi, itakusaidia kuepuka mawazo kama hayo.
 
nilitaka kusema ''chukua random mwanamke uone raha yake'' lakini sijui umri wako so I won't. nenda out on a date na mwanamke unayevutiwa naye (bila se.x) uone kama mta-connect and decide from there.

naomba kuuliza na sorry kama ntakukwaza ''kwa nini unaota uko na jogoo au mbuzi dume?" I find it odd for a straight man to dream that maana ndoto ni sehemu ya mawazo yetu.
 
Mi ni kijana ambae sijawahi kufanya mapenzi bado na sijui ladha yake ikoje. siku hizi nimeanza kupata ndoto mbaya za kuota nafanya ngono halafu najikuta nimelowa maeneo ya ikulu. nilikuwa sijawahi kukutana na hali hii hapo kabla.
Tatizo ni kuwa huwa naota nafanya ngono na mbuzi au kuku tunaowafuga nyumbani. hii ni baada ya kulifukuza jogoo au dume la mbuzi likiwa linapanda nami naanza mambo huku ndotoni. ila naona raha saana nikiota ndoto hizi je hiyo ndio raha ya mwanamke?

ijawahi kabisa kufanya mambo na mwanamke. nifanyeje?

Duh brain yako hapo kwenye bold iko corrupted.

Ushauri;

Kwanza ni kawaida kuota ndoto hizo kwenye balehe ILA mara nyingi unakuwa unaota unafanya na mtu/msichana.

Jaribu kuongeza juhudi kwenye mazoezi ya kawaida na punguza kuangalia porno!
 
mara nyingi ndoto huwa ni mrejeo wa yale unayoyafanya/ kuwa nayo karibu au kuyawaza kwa kiwango kikubwa sasa ww kuota mbuzi na kuku jiangalie sana na tabia hii unayoifanya,
 
Kama uko DSM nenda IDC, kila Jumamosi kuna clinics za vijana kuhusu mambo yao ya ujana kuelekea utu uzima. Pia kuna councelling nzuri sana kwa vijana wa umri wenu. IDC iko kati ya Central na Traffic police opposite na Railway Station.
 
Post ya kwanza na story za ngono
Kwanza umri wako inaelekea ni mdogo sana ni umrio wa balehe na bado una safari ndefu sana ya maisha
Jiweke kwenye kufanya mazoezi na epuka kuangalia sana porn na kama unasoma zingatia sana masomo haya mambo yapo wakati wote
Usije ukajikuta unaingia mzima mzima kwenye game na ukapotelea humo
 
Dah jamaa umenipa raha aisee we inaonekana huwa unafanya kweli au ulifanya maana ni.ngumu kama hujawai.fanya hii kitu na mbuzi then uote ila hii dunia sishangai haya kutokea
 
pole sana mdogo wangu,nakushauri waone wataalam waliokaribu yako....lakin ukiona hvyo kuna mawili labda ni ndoto kutokana na matukio ya siku hyo au jini mahaba linkutumia katika shughuli na wewe kudhani kuwa unalala na kuku/mbuzi .......pole sana
 
Kama ni mkristo, hebu jaribu kuweka biblia kitandani na iweke unapoegesha kichwa, yaani ulipo mto wako.
 
Post ya kwanza na story za ngono
Kwanza umri wako inaelekea ni mdogo sana ni umrio wa balehe na bado una safari ndefu sana ya maisha
Jiweke kwenye kufanya mazoezi na epuka kuangalia sana porn na kama unasoma zingatia sana masomo haya mambo yapo wakati wote
Usije ukajikuta unaingia mzima mzima kwenye game na ukapotelea humo
yan bona umeliona hlo!!! khaaaah!!!!!!!
 
Back
Top Bottom