Nini Umuhimu wa Sensa hapa Tanzania

Adharusi

JF-Expert Member
Jan 22, 2012
14,402
7,310
Kama ni muhimu kwanini imefanyika mara chache....!
1.sababu ya umaskini wetu inaweza kuwa inasababishwa na kutofanyika kwa sensa?
2.Sensa na uchaguzi mkuu,unadhani nini muhimu...?
"vox populi,vox dei"
 
Back
Top Bottom