Nini Tofauti kati ya Laptop na Netbook kimatumizi

Rutunga M

JF-Expert Member
Mar 16, 2009
1,769
1,382
Wakubwa naomba kujua kuna tofauti gani kati ya Net book na Laptop kwa matumizi yake

Asante
 
LAPTOP ni jina MAMA.

Ndani ya LAPTOP kuna NETBOOK na NOTEBOOK......

NETBOOK ni computer ndogo ambazo nafikiri zikienda saana zinakuwa na nchi 12 ambazo ni kama nusu ya Notebook. Wameweka kila kitu nusu ya Notebook kuanzia Processor, RAM, Graphic Card nk nk

Netbook hazina tofauti na PAD ila sema PAD zenyewe screen ndiyo inafanya kazi zote..... Kwa future wengine wanasema, itakuja kuwa kama hili tangazo:

Last edited by a moderator:
Simply zote ni laptop lakini inapokuwa more portable ndo unaweza kuiita netbook but zote ni laptop kwa uelewa wangu, maana kuna laptop nyingine ni nzito hizo dah! hata kuiita netbook unasita...

sijui kama nihivyo ngoja tuwasubiri masharobaro..
 
netbook KIMATUMIZI ni kwa ajili ya kazi nyepesi, browsing, word processing.. Sio mikazi mizito, na OS zake zinatakiwa ziwe lightweight... nadhani umeelewa..
 
netbook KIMATUMIZI ni kwa ajili ya kazi nyepesi, browsing, word processing.. Sio mikazi mizito, na OS zake zinatakiwa ziwe lightweight... nadhani umeelewa..

Asante,Kwa hiyo Netbook haiwezi kufanya kazi kama vile Designing, Video Editing hata zile ndogo ndogo siyo?
 
Asante,Kwa hiyo Netbook haiwezi kufanya kazi kama vile Designing, Video Editing hata zile ndogo ndogo siyo?

Itarukka! :tonguez:.. ila kama development, unaweza tumia lightweight Ide's. lakini kama video editin, kama alivyosema gurta, bonge la kazi, rendering sijui na nini...
 
Back
Top Bottom