Nini tofati za kimalengo na wahusika wa maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane

Rato

Member
Jul 10, 2012
92
7
Naomba kuelimishwa nini malengo ya maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane? Ni wahusika wa nyanja gani wanapaswa kuwepo kwenye Saba Saba na Nane Nane.Nimekuwa nikiona walioshiriki Saba Saba ndio hao hao nawaona Nane Nane.
 
Back
Top Bottom