Nini tafsiri ya ndoto hii ?

Charminglady kuna suala nagusia kuna aina za ndoto,ndoto kutoka kwa Mungu ambayo anakupa direct information kama yusuph baba yake Yesu alipoambiwa ndotoni kuwa asimuache bikira maria,na nyingine aliota akaambiwa akimbilie misri etc,na kuna ndoto unapewa za ishara mf yusuph aliona nyota angani ktk ndoto na ilikuwa ikimaanisha atakuja kuwa mtu mkuu,
kuna jambo mnatakiwa kulijua kuwa Mungu aliahidi siku za mwisho atakuwa akiongea na wana wake kupitia ndoto na maono pia na unabii. Na pia sio kila mtumishi wa Mungu anaweza kutoa maana ya ndoto,u shuld ask holly spirit kwa ajili ya hiyo.Charminglady na wote ambao huwa mnaota na ukiamka unaikumbuka ndoto yako andika ktk notebook sawa sawa na joel 2,inasema andika chini maono(write down the vision so he may runneth he who readeth it ....)hii itakusaidia kujenga imani yako,kwa waliokaribu naweza nikawasaidia vitabu vitakavyowasaidia kuhusiana na ndoto kwa walio mza naweza wasaidia vitabu for u to study



pole sana Smile, hata mie usiku wa kuamkia jana jumapili niliota nipo baharini tena wakati maji yanakupwa na kujaa thou sijawahi kushuhudia hiko kitendo. wakati maji yanakupwa nafurahi naenda kucheza kwenye mchanga yakijaa nayakimbia, mara naogelea lakini pia sizami. nimeshindwa kuelewa mpaka saivi. Chimbuvu na hapa je maana yake ni nini? MziziMkavu busara zako zahitajika tafadhali. . .
 
Last edited by a moderator:
Amen,thanks.Nimekuelewa sana.Ni kweli i need to work on my spiritual world..
One question...what exactly is meditation?ni kukaa kimya au?
There are many types of meditation, ntakupa chache tu za kuanzia.

Kuna ile kama yoga, unakaa mahali tulivu pasipo na kelele and unaforce your brain not to think of anything, unakaa hivyo kwa dakika kadhaa.

Second, unaweza kwenda mahali take example chini ya mti then unasikiliza sauti za ndege, kando ya mto na kuangalia maji yanavyopita, or usiku unatazama juu na kuhesabu nyota.

Third, counting your steps or heartbeats as you walk labda umetoka kazini, kimya kimya unahesabu hatua.

Fourth, musical meditation, best done with classical music or any music with no words and siyo instrumental ya mziki unaoufahamu ili usiimbe then you wont be meditating.

Fifth, spiritual, hii unakua kama unasali but unatafakari tu ukuu wa Mungu and everythng you know about God.

And so many more, ntakutaftia nyingine but so far jaribu kuangalia inayoendana na mazingira yako.

The aim ya meditation ni kama kupunguza wingi wa mawazo au emotions or stress miili yetu inayobeba ndiyo maana while meditating, you must force at least your brain not to think of anything. Halafu, most of meditations macho yanafungwa, kutoa ile ya counting steps, lengo la kufunga macho ni kutupunguzia distruction zinazoweza kukutoa kwenye lengo. And they are best done while alone.

Enough sermon for today right?
 
ukiota unakula kwenye ndoto maana yake ni wachawi wanaimarisha kafara, ukikumbuka kusali wakati unaota omba mungu akupe macho ya ROHONI utawaona wabawa wako liveee bila chenga....kumbuka kusali b4 hujalala
 
Kama uanogelea kwenye calm water you are safe, ila kama turbulent wate, jifunge nira kiunoni, mapambano yaja
 
asante kwa ushauri Chimbuvu, naweza sema me mojawapo ya watu wanaosumbuliwa na ndoto hasa za maji na watu wabaya. ila hao watu wabaya mara zote huwa nawashinda. ninavokwambia hata usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto mbaya ajabu. na mwisho wa ndoto nilivamia kanisa na kumuamrisha mchungaji aniombee maana nilihisi nakaribia kufa. n-way ngoja nikupm ndoto ilivyokuwa mwanzo hadi mwisho!
 
Last edited by a moderator:
Catherine, alichosema Invisible hapo juu ni kweli kwani ndoto za Smile zilizokuwa zinamsumbua katikati ya mwezi October zilitimia katikati ya mwezi November pale mama yake mzazi alipotutoka!!! Kweli siyo ndoto zote twapaswa kuzipuuza.
 
Last edited by a moderator:
Catherine, alichosema Invisible hapo juu ni kweli kwani ndoto za Smile zilizokuwa zinamsumbua katikati ya mwezi October zilitimia katikati ya mwezi November pale mama yake mzazi alipotutoka!!! Kweli siyo ndoto zote twapaswa kuzipuuza pal.
 
Last edited by a moderator:
Hufanyi dhambi usiku? Mchana unazofanya ndio zinafungua milango kwa adui shetani kukutesa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom