Nini sababu ya wanaume wengi kutamani sana wanawake mwenye makalio makubwa?

Shy land

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
6,024
1,960
Kwa wanaofahamu naomba watujunze; ni sababu ipi ya wanaume kutamani sana wanawake mwenye makalio makubwa? Maana mimi sijaona kitu cha ziada ambacho kinachopatikana kwa mwanamke mwenye makalio makubwa katika mechi zaidi ya kuwa na matatizo yakutokujua kuchekechua.

kwa upande wangu nimefanikiwa kugegeda wanawake wa aina zote; mwenye makalio ya kawaida na ambao wanayo makubwa, lakini sijaona tofauti yoyote au kitu cha ziada ambacho anacho mwanamke mwenye makalio makubwa.

Tofauti kubwa niliyoiona kwa wanawake mwenye makalio makubwa ni mangogo katika mechi yanatenga tu, wengi hawajui kucheka chekechua kama hawa flat screen ambao nimewatafuna vya kutosha!!

Nasema hivyo sababu kumekuwa desturi kwa mwanamke mwenye makalio makubwa akipita kama kuna kundi kubwa la wanaume lazima mutageuka na kuanza kumjadili mwanamke huyo kwamba kajaliwa na Allah.

Naombeni wanaume wenzangu munitoe tongotongo kuhusiana na hili swala; kwamba kipi cha ziada ambacho anacho mwenye makalio makubwa katika maswala ya kimechi.
 
Unajua kwa nini mwanamke mwenye umbo namba 8 anaambiwa ana umbo la Kibantu?? Ni kwa sababu umbo hilo ndiyo la Kiafrika haswaa...!!

Wanasema jasili haachi asili!! Utajifaragua na flat screen zako hukooo lakini linapokuja Libantu lenye umbo la Kibantu lazima moyo wako uzizime!!

Ishu hapa ni ule unono unono wa mwili, huongeza mvuto ndani ya room yako lakini pia kwenye 6x6 huongeza mhemko wa mapenzi hasa anapokuwa anajua kuhamasisha kwa kutumia umbo lake.

Ni hayo tu, mi ni Muafrika bana!! Hatari sana
 
Ni suala la hisia zaid ndugu. Kuvutiwa na matako makubwa ni suala la nje kwani unapokuwa ktk kusex hayo matako thaman yake inakwisha kwa wengi wanawaza shimo

Ila tukumbuke uzuri wa nyumba choo jamani.
 
Attachments

  • 1430540877049.jpg
    1430540877049.jpg
    16.5 KB · Views: 7,163
Ni suala la hisia zaid ndugu. Kuvutiwa na makalio makubwa ni suala la nje kwani unapokuwa ktk kusex hayo makalio thaman yake inakwisha kwa wengi wanawaza shimo

Umeongea ukwel mkuu yanavutia kwa nje tu ila ukiona mzigo wenyewe utatamani kutapika mana nimekutana na mmoja jana hadi nikajuta sitaki tena mizigo mimi
 
Unajua kwa nini mwanamke mwenye umbo namba 8 anaambiwa ana umbo la Kibantu?? Ni kwa sababu umbo hilo ndiyo la Kiafrika haswaa...!!

Wanasema jasili haachi asili!! Utajifaragua na flat screen zako hukooo lakini linapokuja Libantu lenye umbo la Kibantu lazima moyo wako uzizime!!

Ishu hapa ni ule unono unono wa mwili, huongeza mvuto ndani ya room yako lakini pia kwenye 6x6 huongeza mhemko wa mapenzi hasa anapokuwa anajua kuhamasisha kwa kutumia umbo lake.

Ni hayo tu, mi ni Muafrika bana!! Hatari sana

Hongera kamanda kwa kumfamisha ukweli huyo kijana. ukitaka kula nguruwe chagua alie nona. cyo unakuwa na mke kila unaposhika unakutana mifupa yani hata hamu inapotea. kwan yeye hajawahi hata ulizia bei ya steki buchani? hajui kuwa ipo juu kuliko hiyo mifupa yake? kitu ni namba 6 & 8. mwanche ajichoshe na skrepa zake hizo namba 1.
 
Uzuri wa mizigo ina style zake, ukizipatia sawa sawa ule mzigo huwaga una act kama shock-absorber flani hv.. Ukiipatia sawa sawa hutajutia. Paka mkia bwana
 
Back
Top Bottom