Kuuliza ni ujinga,Nimeishi Dar es Salaam kwa muda fulani. Hapo nilisikia majina kama ya Mwanamboka, Lumumba, mtaa wa Congo nk..
Nini sababu hii mitaa kuwa na majina ya Congo?.
Kuuliza sio ujinga
Na asiyeuliza jambo asilolijua huyo ni mpumbavu.Kuuliza ni ujinga,
Ujinga maana yake ni kutokujua jambo ila ukisha lijua hilo jambo basi na ujinga wako unakua umeishia hapo kwenye hilo jambo.
😁😁😁Kuuliza ni ujinga,
Ujinga maana yake ni kutokujua jambo ila ukisha lijua hilo jambo basi na ujinga wako unakua umeishia hapo kwenye hilo jambo.
mbona kuna mitaa inaitwa kenyata{kwani sisi wakenya},samora{kwani samora masheli alitawala tz,si ni msumbiji],Nimeishi Dar es Salaam kwa muda fulani. Hapo nilisikia majina kama ya Mwanamboka, Lumumba, mtaa wa Congo nk.
Nini sababu hii mitaa kuwa na majina ya Congo?
Kuuliza sio ujinga.