Wadau! Mambo ya teknolojia sio kila mtu anayajua. Ninataka kununua TV. Katika kufanya window shopping, jamaa mmoja ananiambia..hii TV (anaitaja brand) ni nzuri sana, halafu ni 4K UHD. Nikamuuliza, ukisema 4k UHD una maana gani? Hakunipa jibu zaidi ya kuniambia, fanya utafiti mwenyewe.
Ninakuja kwenu wadau wa group hili. Ukiambiwa hii TV ni 4k UHD ina maana gani?
Ninakuja kwenu wadau wa group hili. Ukiambiwa hii TV ni 4k UHD ina maana gani?