Nini maana ya 'NO FLY ZONE?'

Ally Kombo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
11,429
2,645
Sadam Hussein alisifika kwa silaha ikiwemo ndege za kivita, akawekewa hiyo sanction, na haikuruka ndege hata moja. Haya hayo yakamkuta Gadhafi. Je nini hufanyika mpaka
ushindwe kurusha ndege zako ?
 
ukirusha ndege ukapambana na anae kuzuia madhara yake nini ? Kuna haja gani ya kununua midege latest lakini ikipigwa 'ban' hata kwenye 'hanga' haitoki ?
 
maana yake hakuna ndege yeyote inayoruhusiwa kupita kwenye anga lako. Na ikionekana inalipuliwa! Kwa hiyo kutoroka inakuwa ni vigumu sana! Itakulazimu utumie tu barabara!
 
No fly zone maana yake unakuwa umepewa muda wa kunigosheti na Wakubwa wa Magharibi ni nchi gani umechaguwa kwenda kuishi uhamishoni na ukikaidi they mean bussiness kifuatacho ITV ni lazima uungane na SADDAM na GHADDAFI
 
No fly zone manake hakuna nzi yeyote anayeruhusiwa kuruka juu ya nyama na bia. Akiruka tu anakula kichapo cha mbwa mwizi.
 
kweli we mvivu link hiyo nimeweka haapo ni kuclik tu unashindwa wajamini
soma post yangu ya kwanza utaona hiyo link inakurefer wikipedia unasoma mwenyewe utaelewa usipende kutafuniwa
au ndio upo chuo cha kata,
si mvivu mzee Lokasa ya mbogo ! Kuelekezwa njia ndio kufika ! Ungeweka na hicho ulichokiona kwenye wkpedia na wewd ungekua umdpunguza uvivu wa kuandika !
 
kweli we mvivu link hiyo nimeweka haapo ni kuclik tu unashindwa wajamini
soma post yangu ya kwanza utaona hiyo link inakurefer wikipedia unasoma mwenyewe utaelewa usipende kutafuniwa
au ndio upo chuo cha kata,
in my early 40's nimeelimika vya kutosha, sihitaji Phd za kuendea bungeni ! Nimeisoma hiyo link. Tatizo langu si kushindwa kugoogle wkpedia ! Najaribu kutafuta busara ya kutumia pesa nyingi kununua ndege za kivita ambapo zinaweza kudhibitiwa. Kwa nini kusiwe na nafasi ya kupigana japo kumtia hasara adui ?
 
Back
Top Bottom