Nini Maana ya neno "KUHONGA" katika Mapenzi?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Habarini wana MUM

Binafsi huwa nashindwa kuelewa sana maana ya hilo neno KUHONGO kama linavyo tumiwa sana na vijana wa kizazi hiki!

Ni neno ambalo limejipatia sana umarufu hasa katika mapenzi kiasi kwamba watu wekuwa wanashindwa hata kujua ni mahali gani litumike na kwa mda gani?

Mfano unaweza kuwa na girlfriend wako au Boyfriend wako mpo katika mahusiano maybe ya miezi 2 au 3......ukiwa unampa mpenzi wako zawadi or money kwa ajiri ya kitu fulani unakuta vijana wanakuandama sana kuwa mshikaji UHONGA sana sasa nashindwa kuelewa maana kuwa unaweza kuwa kwenye uhusiano afu ukawa unamuhonga ulie nae

Au kuhongo hutokea kipindi kile cha kutongoza tu?? Sijajua vizuri maana ake

Huwa sipendi sana kulitumia hili neno kwa mtu coz naona baya afu sijui nilitumie vipi?

Jamani naombeni kuelewesha maana ya hili neno KUHONGA......ili nimkatalie babu asiwe anampa hela ya matumizi na zawadi bibi angu maana atakuwa anamuhonga sana...

Utasikia yule jamaa anahonga sana.....mara yule demu kahongwa gari na mme wake sasa hapa inakaaje Jamani

Hata wasanii wetu wamelitumia sana ila sijaelewa maana ake

Karibuni
 
Ukisikia jamaa anajua kupenda maana yake anajua kuhonga.
Ndio maana hawaachi kulisifia lile kabila pale kanda ya ziwa

Tafsiri hii ni kwa mujibu wa madada hapa town
 
teh teh teh kwa hyo mkuu kutoa kwa Moyo ndo kuhonga si ndio
 
Habarini wana MUM

Binafsi huwa nashindwa kuelewa sana maana ya hilo neno KUHONGO kama linavyo tumiwa sana na vijana wa kizazi hiki!

Ni neno ambalo limejipatia sana umarufu hasa katika mapenzi kiasi kwamba watu wekuwa wanashindwa hata kujua ni mahali gani litumike na kwa mda gani?

Mfano unaweza kuwa na girlfriend wako au Boyfriend wako mpo katika mahusiano maybe ya miezi 2 au 3......ukiwa unampa mpenzi wako zawadi or money kwa ajiri ya kitu fulani unakuta vijana wanakuandama sana kuwa mshikaji UHONGA sana sasa nashindwa kuelewa maana kuwa unaweza kuwa kwenye uhusiano afu ukawa unamuhonga ulie nae

Au kuhongo hutokea kipindi kile cha kutongoza tu?? Sijajua vizuri maana ake

Huwa sipendi sana kulitumia hili neno kwa mtu coz naona baya afu sijui nilitumie vipi?

Jamani naombeni kuelewesha maana ya hili neno KUHONGA......ili nimkatalie babu asiwe anampa hela ya matumizi na zawadi bibi angu maana atakuwa anamuhonga sana...

Utasikia yule jamaa anahonga sana.....mara yule demu kahongwa gari na mme wake sasa hapa inakaaje Jamani

Hata wasanii wetu wamelitumia sana ila sijaelewa maana ake

Karibuni
binafsi huwa naona vijana wasio na uwezo wa kutoa/ kumpa mpenzi wake kitu anajihalalishia kutompa kwa kujifanya kwamba wewe unaetoa unahonga na yeye hahongi...ukitaka kumpa kitu mpenzi wako unampa tu lakini usimpe ukitegemea kitu fulani maana ndo tafsiri ya HONGO inakuja hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom