Nini Maana Ya KIBAO KATA?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,883
155,860
My sweet heart alipewa kadi ya kwenda kwenye kibao kata, kibao kata kinafanyika leo kule ilala. Mimi ndiye niliyeipokea hiyo kadi siku ya jumatatu.
Kwa ufahamu wangu mdogo wa mambo ya kike nikajua kuwa hiyo ni kitchen party, cha ajabu ni kwamba leo imekuja kadi nyingine ya harusi hiyohiyo ikimualika kwenye kichen pati.
Waungwana naomba msaada wenu, nitofautishieni kati ya kichen pati na kibao kata.
 
Mhh niliwahi sikia hii ni ngoma ya kumfunda bi harusi wapiga ngoma na wahudhuliaji ni wanawake tupu!
pata picha wanafanya nn huko???
 
Mi nilishawahi kuchungulia mara moja kwenye hiyo ngoma, mule ndani wanafundishana jinsi ya kukata mauno unapokuwa na jamaa.
kitchen party yenyewe zaidi ni kufundishana jinsi ya kuishi kwa upendo na amani ndani ya ndoa,vile vile kitchen party inaambatana na utowaji wa zawadi za vifaa vya jikoni.
 
kibao kata ni ngoma ya mabwabwa mkuu, ongea naye vizuri tena hao wa kariakoo nawafahamu sana, inawezekana harusi yenyewe ni ya ma punga. mwanaume anaoa mwanaume mwenzie
 
Kata aaa kataaaa
Kata mwanangu kata
Kata usiogope.
Kata chako mwenyewe
Wala hukuazima
Kata mpaka chini......
 
kibao kata ni ngoma ya mabwabwa mkuu, ongea naye vizuri tena hao wa kariakoo nawafahamu sana, inawezekana harusi yenyewe ni ya ma punga. mwanaume anaoa mwanaume mwenzie
Chimuguru pse waacha kunichekesha ...umepata waapi uzoefu huo, amazing story
 
Jamani sidhani kama kibao kata ni kitu kinachofanana na Kitchen part, Kibao kata nadhani inafanana sana na Chakacha, hii ngoma ya Mashoga na wanawake wenye mitazamo na wenye ushirika mkuu na mashoga

kwa mwenendo huo ndugu yangu hapo huna mke
 
Mkuu huyu switimoyo wako ni mkeo ama ndo umepaste tu mkuu; kwa tafsiri hiyo hapo juu inabidi ukemee hiyo tabia na huko kujichanganya
 
Masikini Jeuri,

Nimezaliwa hapa Dar, na haya mambo ya Kibao kata Hayajaanza leo ni ya muda sana na hao MASHOGA walikuwa wanaitwa MAFARUKU, si umeona BWABWA mzuka ulivyompanda?

Jamaa hana Mke
 
hahahhahahhaha........Bujibuji, kumbe wewe jirani yangu, sote wa ilala,
 
Masikini Jeuri,

Nimezaliwa hapa Dar, na haya mambo ya Kibao kata Hayajaanza leo ni ya muda sana na hao MASHOGA walikuwa wanaitwa MAFARUKU, si umeona BWABWA mzuka ulivyompanda?

Jamaa hana Mke
kwani Bwabwa anamafungamano na hao wacheza Mafaruku ? mbona sielewi hapa.
 
Chimuguru pse waacha kunichekesha ...umepata waapi uzoefu huo, amazing story

Mkuu nina shemeji zangu wamezaliwa kariakoo, nilikuwa mbishi siku wakaniita nikashuhudie, kwa kweli ni laana tupu, tena si ma shoga peke ya na lesbian vile vile wapo hapo kwenye hiyo ngoma. mchunguze vizuri wife anaweza akawa lesbo kaka, haya ma saluni ya kike siku hizi noma tupu.
 
mmmh kweli kaazi.
 
Masikini Jeuri,

Nimezaliwa hapa Dar, na haya mambo ya Kibao kata Hayajaanza leo ni ya muda sana na hao MASHOGA walikuwa wanaitwa MAFARUKU, si umeona BWABWA mzuka ulivyompanda?

Jamaa hana Mke

Ooh, mkulu umegonga Ikulu.

Watu wa bara hawawezi jua haya..:D
 
Back
Top Bottom