Nini kinaweza fanyika...???

unaweza ukawa nae 1 na bado likaanguka kuliko la mwenye wa 2-3...inategemea na umbile la mtu..kama mwanaume alikuta chuchu saa 6 abaada ya uzazi zikabadilika bac anatakiwa na yeye ayakubali hayo mabadiliko mana umemletea kiumbe duniani na mabadiliko ya hapa na pale ni muhimu, yaani ni ishu ya mwanaume kulitambua/kulielewa hilo kabisaa....

agree with u... but my point was that there is reason kwanini wanawake wanataka kuwa na chuchu za saa 6 forever... nasababu ni wanaume na media... Media is drifting us away from the truth...men wishes they have their own Beyonce or Kim Kardashian and women are working hard to fulfill their men's dreams... so u cant blame women only... ila maneno yako ni 100% correct...
 
naaa...I dont..please elucidate...

got you noname...

But you also know perfectly well that hizo figure za hivo na maboobs ni business driven tu, hakuna la zaidi, wanatusingizia wanaume! the power of media an the like! akili za kupewa....
in bold lets just forget I say anything lollllllll
Someone get me b4 i kill this man Arghhhhhhhhhhhhhhhhh did u just edit my post?...
I know very well Kaizer and that was my point exactly... blame the media...or blame the USA lolllllllll
 
Unaupenda wimbo wa Melanie Fiona eeeh?
 
kuzuia matiti yasianguke baada ya kunyonyesha.....????:confused2:

Mbona kuna wanawake wengine matiti yameanguka bila kunyonyesha/kuzaa..Mimi nimenyonyesha mtoto tena mwaka mzima,ziwa lilikuwa limesheheni maziwa haswaa ila sasa yamerudi kawaida yani hayajalala..Inatofautiana kati ya mtu na mtu bibie..
Mnyonyeshe mtoto apate afya bora..
 
Sagging of the breasts is caused more by genetic factors than breast feeding. I don't know why people hold on to this myth that when you breast feed the breasts will sag
 
me nadhani wakati mwingine ni ya mtu me nimenyonyesha watoto 3 na bado yako vilevile sema yamelegea kidogo ila hayajaanguka hata kidogo, wakati nina mdogo wanhu kanyonyesha mtoto mmoja yameangu kabisa
 
Sagging of the breasts is caused more by genetic factors than breast feeding. I don't know why people hold on to this myth that when you breast feed the breasts will sag
may be we have wrong information....but I guess too many kids will just make woman exhausted...
 
Sagging of the breasts is caused more by genetic factors than breast feeding. I don't know why people hold on to this myth that when you breast feed the breasts will sag
Mkuu are you sure??? Watu wanaongelea uzoefu wao hapa! Labda useme kuna factors nyingine zinazochangia na si kunyonyesha pekee.
 
may be we have wrong information....but I guess too many kids will just make woman exhausted...

What do you mean we have the wrong info? I have seen many women who don't have children but have sagging breasts and likewise, I have seen women who have had children that have perky breasts. That's why I said genetic factors have a lot to do with it.
 
Mkuu are you sure??? Watu wanaongelea uzoefu wao hapa! Labda useme kuna factors nyingine zinazochangia na si kunyonyesha pekee.

I am absolutely positively sure of what I'm talking about. Juzi juzi tu hapa kwenye Tom Joyner morning show nilikuwa nasikiliza maongezi yao kuhusu breast feeding na faida na hasara zake na hofu walizonazo wanawake kuhusu kunyonyesha. Sisemi kwamba hakuna factors zingine zinazochangia maziwa kudondoka ila ninachosema ni kwamba kwa kiasi kikubwa sana genetic factors ndizo zinazochangia. Kwa mfano, mwanamke mwenye vititi vidogo (itty bitty titties) ana chance nzuri ya maziwa yake kuchelewa kudondoka kuliko yule mwenye double d cup.

Na nimeshatoka na mademu kiasi cha kutosha kufanya ka observation kangu mwenyewe kwa hiyo najua ninalozungumzia.
 
nashukuru mungu kwa kunipa hivi vichuchu nimenyonyesha watoto wawili lakini bado viko saafi
Pole Fab
 
sawa kabisa.....mie nimenyonyesha watoto wawili na naendelea kunyonesha baba yao lakini hayajaanguka kivile, kulegea yatalegea kwa namna moja au nyingine....

This is a good point. Well done Nyamayao.
 
Asanteni kwa mchango wenu...

Ingawa mmeniogopesha hamna solution zaidi ya boob job,mie kisu nakiogopa mweee...

may be few exceptional cases,ila wengi baada ya kunyonyesha nimeona maziwa yakianguka....

Hii ina athari ya moja kwa moja kny tendo la ndoa,utawasikia wababa wakilalamika baada ya watoto wa wawili...tendo la ndoa...kwishney...utafanyaje kama you dont feel atractive anymore jamani...???

na wengine utawasikia wakilalamika tangia azae mwanamke flani hajitunzi anymore,yeye kazi yake ni kuvaa vitenge tuuu...jamani hili suala ni vyema kama tutalitafutia ufumbuzi kwa sababu linatuathiri kisaikolojia,,,,mtu kama you dont feel good/atractive inside...it will show outside...mtu anaishia kuwa rafu sababu she feels the same way inside.....

and i dont know why do people associate breastfeeding and love for your child...ina maana wale waliochoose not to breast feed ni half mothers???are they not proud mothers...

fidel kama unayajua mambo mwaga hadharani utakuwa umesaidia wengi.....!

Don't worry. Tendo la ndoa halina uhusiano wa moja kwa moja na maziwa kulala au la.
 
kuzuia matiti yasianguke baada ya kunyonyesha.....????:confused2:
1.1.isikupe shida,acha yaanguke tu.
2.huwezi ukabakia kama ulivyo milele.
3.ukianza kulazimisha mambo ya usichana yabakie vilevile itakupa shida sana.
4.hata ukisemaa uvae brazia ikusuport haisaidii......fikiria ukivua na kuoga je? Yanarudi palepale.
5.wala usiende kufanya surgery, hasara zake zinazidi faida ndogo ya kupenda maziwa ya saa 6
6.kama jamaa yako ni mgonjwa wa chuchu zilizosimama,itabidi mvumilie so long as hakukejeli.akikua ataacha kutamani hizo chuchu.
 
Sagging of the breasts is caused more by genetic factors than breast feeding. I don't know why people hold on to this myth that when you breast feed the breasts will sag

Ni kweli mana wengine titi zimeshaanguka kabla ya kunyonyesha kids..Kurithi ni kati ya factors na wengine ndo walivyo,titi limeanguka tangia amebalehe..
 
Don't worry. Tendo la ndoa halina uhusiano wa moja kwa moja na maziwa kulala au la.
Na mimi ndio nataka ufafanuzi hapa.Hivi starehe nzima inayotokana na mahusiano ya mapenzi inaathiriwa vipi na size ya matiti au kuanguka na kusimama kwa matiti.
 
cjakuamni luv coz wakati mwingine na wewe ni mzee wa fix, mfanyie bac maarifa kama yupo hapo dar atibiwe hapo hapo, au dar hakuna hao wagogo au ni wale wa kienyeji?

Kama anaweza kunisafirisha mpaka Dom na kunirudisha nitampeleka akayasimamishe.
 
Back
Top Bottom