Nini kinaweza fanyika...???

Fab

JF-Expert Member
Apr 16, 2010
757
14
kuzuia matiti yasianguke baada ya kunyonyesha.....????:confused2:
 
Hakikisha kuwa matiti iwe ni haki ya mtoto pekee, sema "Hell no" kwa Baba ntoto!.
Unscientific. Kwani baba mtoto ndiye anafanya matiti yaanguke? Fanya uchaguzi. Ama ubaki na matiti yaliyo"simama" au uwe mama na matokeo yake lazima ni soksi.
 
wasikukatishe tamaa my dear ........

kwanza matiti yanaanguka kulingana na namna unavyonyonyesha. kama unanyonyesha mtoto kakaa sakafuni wewe unakuna nazi lazima ziwa lianguke lakini ukifata maelekezo ya kunyonyesha kwa daktari wako ziwa lako halitaanguka.

pia unaweza kufuatia njia zifuatazo

option ya kwanza ni kwenda kufanya boob job baada ya kunyonyesha but ni gharama na wengi kwenye jamii yetu wanaona ni jambo liberal sana.

option ya pili unaweza kununua sidiria maalum za ku support matiti yako.
 
Am very proud of my self hata yaporomoke kama ndala wacha watoto wangu wanyonye maziwa kwa afya 2 years kila mmoja..
Na inategemea na maumbile ya mtu
 
cant people be proud to who they are? hell no to boob job jamani lol. cha msingi invest in very good bras na a bit expensive na position ya kunyonyesha na namna unavolala , usiyalalie vibaya na avoid kuvaa khanga kifuani.
 
Matiti kuanguka pia inategemea na maumbile ya mtu,kuna wengine wananyonyesha hata watoto watatu lakini ukimuangalia matiti kama binti wa form 2.Lakini kikubwa nikuwa proud of who you are na hata kama utanyonyesha na yakawa ndala..u shud learn to love uaself first b4 anybody can love u back.
 
Kina mama wengi wanapokuwa nyumbani huwa hawapendi kuvaa bra (ni mchosho mara nyingine kila saa umebanwa!)
Angalizo: wakati unanyonyesha, matiti huwa yanalemewa na hivyo ni muhimu muda wote uyavishe bra ili kutia support. Hii husaidia sana anguko lisiwe la kutisha. Otherwise...surgery
 
Una mtoto? wala usijali hata yakifika magotini si utavaa bra? na hakuna atakae ona labda kama mr anamind inabidi umweleweshe tu ndo umama huo acha mtoto ashibe nyonyo.

Am a mother, am proud of being a mother to my kids, am proud so proud that I breast fed my kids as the best meal! and no one will wonder why my titis are so flopy,istnt it my dear JF members?
 
cant people be proud to who they are? hell no to boob job jamani lol. cha msingi invest in very good bras na a bit expensive na position ya kunyonyesha na namna unavolala , usiyalalie vibaya na avoid kuvaa khanga kifuani.
Carmel kwani kanga ina tatizo gani mpendwa?
 
Kina mama wengi wanapokuwa nyumbani huwa hawapendi kuvaa bra (ni mchosho mara nyingine kila saa umebanwa!)
Angalizo: wakati unanyonyesha, matiti huwa yanalemewa na hivyo ni muhimu muda wote uyavishe bra ili kutia support. Hii husaidia sana anguko lisiwe la kutisha. Otherwise...surgery

Liz mambo ya kuweka alama mwilini na mikasi jamani ..labda niende nikiwa mgonjwa ..lakini mzima nataka my miliki yasimame ..oh god forgive me
Pia niliambiwa Bra ndo zinasababisha manyonyo yaporomeke? eti yanabanwa sana
 
Back
Top Bottom