Nini kinasababisha kizunguzungu baada ya hedhi?

Mama Nehemiah

JF-Expert Member
Sep 9, 2018
241
433
Salaam!

Nauliza nini kinasababisha mwanamke kupata kizunguzungu kikali wakati anapokuwa period au baada ya kumaliza period?( mpaka anashindwa kufanya chochote ni kupumzika tu).

Hali hii inaweza kudumu kwa wiki nzima au zaidi halafu inapotea yenyewe mpaka mwezi ujao tena.

Nini husababisha hali hii?

Tiba ni nini?
 
Nadhani sababu ni kupungua kwa damu, damu inapokuwa ndogo kiasi cha kutoweza kufika kichwani ama kufika kwa uchache husababisha hali ya kizunguzungu, ni vyema pia ukaenda kituo cha afya kujua tatizo
 
Asante
 
Salaam!

Nauliza nini kinasababisha mwanamke kupata kizunguzungu kikali wakati anapokuwa period au baada ya kumaliza period?( mpaka anashindwa kufanya chochote ni kupumzika tu).

Hali hii inaweza kudumu kwa wiki nzima au zaidi halafu inapotea yenyewe mpaka mwezi ujao tena.

Nini husababisha hali hii?

Tiba ni nini?

Ni vyema kutambua kuwa wakati huu ni kama mwili huongezewa jukumu, pia kuna mabadiliko ya vichocheo na mwitikio wa mwili.

Sababu ya kizunguzungu:
1: Upungufu wa damu kama ilivyoelezwa hapo namba 2. Kitu muhimu ni kuangalia wingi wa damu pamoja na kiasi cha damu unachopata wakati wa hedhi.

2: Inaweza kuwa sehemu ya dalili zinazoambatana na hedhi (pre menstrual dysmorphic syndrome).

3: Uchovu na kutokunywa maji ya kutosha kuendana na uzito, hali ya hewa na aina ya kazi.

Tiba: Itategemea na sababu ya msingi baada ya kukutana na mtaalamu wa afya.
 
Back
Top Bottom