Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,320
Ndugu wanajamvi tumejadili sana katika jukwaa hili sababu zinazofanya baadhi ya wanaume wawe na 'nyumba ndogo', na baadhu ya wanawake wawe na 'vidumu'...
Naomba tugeuze hii sentensi upande wa pili, na kwa leo tujadili hili suala la mwanamke kukubali kuwa 'nyumba ndogo'. Kama tunavyojua ni suala ambalo linaongezeka katika jamii. Siku hizi tabia ya baadhi ya wanawake kuwa proud of being 'nyumba ndogo' inaongezeka. Baadhi ya wanawake wako proud kusema nimezaa na mme wa fulani, ninatoka na mme wa mtu, fulani mme wake hamna lolote nilishamwonja n.k. Simply mtu unaweza kudhani ni tamaa ya pesa na ugumu wa maisha, lakini mara nyingi tunashuhudia wanawake wenye pesa za kutosha kuendesha maisha yao, bado wako proud kutoka na wanaume wa wenzao.
Je, is all financial, is it fashion, is it love, is it for reproduction, is it sexual satisfaction, ...what is the reason/reasons? And what is your opinion?