Nini kimemkuta Ommy Dimpoz?

Omy dimpoz is better artist in Tanzania is among of the best and proudly to have him in our country stop your comparison between diamond and other artists coz everyone got his fans base and style u silly and dumb fan

You are, to the queen's language, what Kinana is, to our elephants!!
#StopPoaching
 
Diamond alimshika mkono Ommy akamfikisha mahala juu. Ommy akashindwa kujisaidia na kusaidia wengine akabaki kumuonea wivu badala ya kuendelea kufata ushauri kwa D. Akaacha kumsapoti kwa kazi zake na D tunaona nae akaminya.

Juzi anamtumia ujumbe wa nyimbo mpya ukiangalia D kafanya mengi mwaka huu ila Omny akafumba macho kwa kutaka kushindana nae na kusapoti ----- wa timu zinazotaka ashuke kikazi.

Ila D anaroho fulani ameizingi sana. Ni wengi hawana shukurani
 
Omy dimpoz is better artist in Tanzania is among of the best and proudly to have him in our country stop your comparison between diamond and other artists coz everyone got his fans base and style u silly and dumb fan

Hiki kiingereza iko siku utapigwa we endelea kutania lugha za watu
 
Wimbo wake mpya ni wa kawaida sana hasa kwa level aliyofikia na ukilinganisha na nyimbo zake za nyuma ila video ni nzuri na inaweza ikatamba kimataifa kwasababu watazamaji wa nje hawajui kiswahili kwahiyo wimbo utabebwa na video tu
 
Akae chini ajitasimini na ajisalimishe kwa chibu yeue alikimbia akaleta jeuri wenzake ndio wasogea kwa chibu taratibu sasa ni wakati wake wa kujipima akishindwa atajua mwenyewe.
 
Jamaa
Afu kingine kikubwa ni kujifanya amekuwa mkubwa sawa na Diamond...

Maana kipindi ni marafiki wakubwa Diamond alikuwa anambeba saana akisafiri kwenda kushoot video wapo nae, mambo mengi sana alikuwa anajifunza kwa Diamond...

Sasa baada ya kuona amekua na kuanza kuvimbiana na Chibu ikawa tatizo, licha ya kupunguza upendo kwa baadhi ya mashabiki, amekosa pia maujanja ya kulishika game vizuri, anaishia anavyofanya hivisasa.. Wanaishia kusikia tu Diamond ananyimbo kaaaali 5 zenye video tayari, 3 zake 2 za kushirikishwa, haya maujanja anayakosa ommy maana watu anaoambatana nao hawampi hizo challenge, anaishia kusema ana album kadhaa kumbe ni nyimbo mbovu..
Jamaa akisoma hapa atajiona mfupi kama kimba!
 
Sometimes kujishusha ukakubali kujifunza inasaidia sana. Alipokua karibu na Diamond, akatoa kichupa Ndagushima kilikua poa atleast....
Baada ya hapo ni Wanjera eeeeeeh baaas
Tatizo ommy anajisikia mnooo hata ongea yake tu kwenye interview unamuona...alipokuja kujichanganya na wema kumshusha diamond ndio kbsaaaa...akaoe tu atulie na ndoa mziki umemshinda
 
Ukwel ommy nilikuwa fan wake wakati yupo very close na dangote lakin alivyo kuwa na kuanza kumvibia kwa ntoa nyota ckumuelewa na had now cjui katoa wimbo gan hata YouTube cjahangalia kwakweli ila nilisikia kuwa katoa ngoma mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom