Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 269,669
- 698,657
Hayo sifahamu kwakweli.. Unajua kusafiri nako ni utashi halafu ni hobby... All in all umeshawahi kumuona tajari anaenda kuhemea?Mbona hatuoni akina Biden au Liz Truss wakizunguka huku na huko?? Mabalozi hizo ndio kazi zao. Ukiona Biden au Liz Truss anaenda nchi fulani jua kua kuna interest kubwa ya nchi anaenda kuiongelea hawazunguki zunguki tu kila kona kama chief Hangaya, utasema alikula miguu ya kuku yeye na JK.