Zanzibar usalama wa taifa ni TISS pia??Hapana Idara maalumu sio TISS..
Idara maalumu Ni JKU,KMKM, chuo cha mafunzo(Jeshi la magerza) N.k
Zanzibar usalama wa taifa ni TISS pia??Hapana Idara maalumu sio TISS..
Idara maalumu Ni JKU,KMKM, chuo cha mafunzo(Jeshi la magerza) N.k
Jibu swali je Wakristo hawataruhusiwa kula siku ya Pasaka?Najua mnaoliza maswali Kama haya hampo Zanzibar,
Punguzeni chokochoko kwani Ramadan Zanzibar si tukio jipya na katazo la Kula hadharani si jipya.
asante ndugu sonafobia. Kwa ufupi,zanzibar ina wakristo wa jadi kabla tanganyika. Wameishi hapa kama wazanzibari na haijatokea sinto fahamu aina yoyote ile. Tatizo linatoka huko bara wakihoji wakristo wa zanzibar. hili, ni tatizo la wabara na sio wazanzibari. Sisi na ndugu zetu tupo pamoja.Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa.
Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani.
Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja?
Wameambiwa watu wasile hadharani je kwenye hadhara ni wapi? Ukipika pilau lako unawekwa ndani?
Tumeshuudia watu wamekamatwa sababu wanasafirisha chakula walichoagiza kwa siri kutumia bodaboda hawakuwa wakila barabarani, je sasa hadharani ni wapi?
Ukiwa nyumba za kupanga za kushea huduma je hutakiwi kupika?
Watanzania wenzetu wapo kwenye mtihani mkubwa sana kipindi hiki na kosa lao ni moja tu kutokuwa waamini wa islamic religion. Tuwaombee maana hawana mtetezi huko.
Mbona Answar Sunna wanaposwali Eid na kufungua na kula siku Moja kabla ya wengine, Huwa hawapigwi viboko?!
TISS Mkuu si Ni Tanzania Nzima???Zanzibar usalama wa taifa ni TISS pia??
Wewe wacha porojo hizo sheria zipo znz wewe mkenya inakuuma nini ? Tii sheria bila shuruti huwezi baki kwenu Kenya
Wewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujuiWewe ni msengesana huna Sheria za kuzuia watu wasile hadharani pumbavu na tukija pasaka tunakula hadharani mtuguse muone
Nakuja Pasaka hii na kitimoto yangu ya kutosha tukutane mjini hapo unianzishie fujo nikiwa nafukia pilau langu la Pasaka na kitimoto changu kilichorushiwa MapepoWewe wacha porojo njoo znz ule hadharani mchana wa Ramadhani ndio utajua hujui
Umeambiwa kwa mujibu wa sheria znz ni kosa kula hadharani mchana wa Ramadhani ndio maana hao waliokamatwa wanawapeleka MahkamaniZanzibar ni Tanzania, na uisilamu sio special case kwenye katiba ya muungano. Labda mseme huko katiba inafuata Sheria za kiisilamu.
Wewe kweli ni mtu wa Ajabu sheria zipo za znz wenyewe wazanzibari ndio wameamua hivo unakereka wewe Mkenya ? Pole sanaMnakera sana na hiyo dini yenu ya muarabu, halafu ujinga ukute unafanya yote hayo na ukihojiwa uthibitishe uwepo wa huyo 'mungu' anayesababisha utese waafrika wenzako, hautakua na chochote cha kuonyesha zaidi ya mwanaume kuvaa dera/kanzu na kuongea ongea kiarabu.
Taja hiyo sheriaUmeambiwa kwa mujibu wa sheria znz ni kosa kula hadharani mchana wa Ramadhani ndio maana hao waliokamatwa wanawapeleka Mahkamani
Hao jamaa huku Bara tunawakarimu ila ni wapuuzi na wabaguzi sana, Jumapili iliyopita pale Unguja Sheha kuna Kanisa kaenda eti punguzeni sauti watu wamefunga........ Jumapili ndiyo watanuna Zaidi
Wape location maana waliopo bara ndio wana wasiwasi wakati wenzao wanaishi huko miaka kibao ..wanafanya shughuli zao kidini dailyPasaka itakuwa nzuri tu hapa Visiwani... Si mnakumbuka kuwa tuliwahi kuwa na Tamasha rasmi la Pasaka, ambapo liliwakutanisha wafanyakazi wa serikali, makampuni na mashirika ya Umma kati ya Bara na Visiwani!
.
Hivyo ondoeni shaka. Leo ni Ijumaa Kuu, kulipokucha siku ilionekana kuwa ni Ijumaa Kuu... Hadi wakati wa sala ya Ijumaa ndio nikakumbuka kuwa huu ni mwezi wa Ramadhan.
Zipo sehemu kadha wa kadha ambazo unaweza kufurahia Pasaka yako bila bughuza yoyote..... Nendeni huko!
Pasaka Njema...