Nini hatima ya tulioappeal mkopo?

Bonzermot

New Member
Feb 1, 2012
3
0
Jaman cc ambao tulionyimwa mkopo yan NO LOAN tunateseka sana huku vyuoni na tumeappeal lakini chaajabu ni kwmba mpaka sasa loan board ipo kimya sasa wengine wanakosa matumaini ya kuendelea na masomo semister ijayo, af kinachouma zaidi ni kwamba wengine tumewekwa kwenye group la budget exhaustion ila hadi leo hilo ndo group ambalo halina muafaka, inauma kwel jaman.
 
Pole inauma sana kuona watoto wa watawala na wengine wengi ambao walinufaika na sasa wana uwezo lakini hawataki kurudisha pesa walizokopeshwa ili na wengine wakopeshwe
 
Jaman cc ambao tulionyimwa mkopo yan NO LOAN tunateseka sana huku vyuoni na tumeappeal lakini chaajabu ni kwmba mpaka sasa loan board ipo kimya sasa wengine wanakosa matumaini ya kuendelea na masomo semister ijayo, af kinachouma zaidi ni kwamba wengine tumewekwa kwenye group la budget exhaustion ila hadi leo hilo ndo group ambalo halina muafaka, inauma kwel jaman.

Nenda kwanza kwa Dean of Students ka bado nenda loans board ukaulizie, sometimes unakuta rufaa imeshafanyiwa kazi ila wanachelewa kui publish..Muhimu uwe na sababu za maana za kuappeal hasa kama wewe ni orphan (na uwe umeambatanisha death cert), ila ukirudia sababu zilezile ka ulizojazia form (kwamba mie ni masikini) ujue appeal yako inawekwa kapuni
 
Back
Top Bottom