Nini chanzo cha mijadala mingi isiyoisha? Je ni mfumo wetu wa Elimu?

wacha matani wewe! Gwini wametawala kiuongozi duniani, angalia historia ya marekani kwa mfano kidogo tu! check the link Internet Public Library: POTUS . Leading a country is not about academic background, it is about a leader to understand collective individuals which called nation that must have character, vision and attitude to interact with other collectives for its progress.

Acha kubahatisha ngwini wewe, watu hawazungumzii mambo hayo...kama unaweza kuelewa soma hii post hapa chini ambayo ilipostiwa na ngwini Mag3...isome yote tafadhali!

Mag3
Mag3 has no status.
JF Premium Member Join Date: Sat May 2008
Posts: 606
Rep Power: 22

Thanks: 507
Thanked 694 Times in 325 Posts
Credits: 58,379

Re: Tanesco yajitoa ununuzi Dowans; yaipiga mkwara nchi

--------------------------------------------------------------------------------

There is enough water at the Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) plant at the strategic Mtera Dam to generate power for many months to come, The Guardian has established. This is contrary to suggestions that the intermittent power cuts which have hit different parts of the country for the last several months were linked to fast-falling water levels at the dam.
Power generation at the two main units of the dam, which lies at the border separating Dodoma and Iringa regions, was in full swing when a reporting crew from this paper made a surprise visit to the area mid-this week.
Tanesco officials and workers at the 100-meter underground Mtera plant said water levels have stood at decent levels for the last two years and talked of stable national grid power supply unless unforeseen circumstances intervene.
The last readings taken on Tuesday showed that the water level had reached 696.07m above sea level, way above the 690m recommended as the level below which power generation is suspended.
Mtera power station acting manager Stephen Mfumbutsa said in an interview that there was gradual but steady increase in the dam`s water level since last month.
``There have been enough rains in and around catchment areas in Mbeya and Singida regions as well as other places that feed Ruaha and Kitego rivers, draining into Mtera Dam. This is good news to us because it means that power generation is assured,`` he noted.
``Water is extremely precious for us. In fact it is much like an oil reserve that no one would like to see depleted,`` he added.
The official, who gave the explanation while running through a diagram with details on the national power grid, said Mtera has two 40-MW generating units and both have been running smoothly throughout for months now.
"Power consumers have nothing to worry about because, as the trend shows, there is currently no possibility of power rationing," a confident-looking Mfumbutsa stated.
Commenting on the causes for the recent intermittent power fluctuations in some other areas in the country, he said the situation was unfortunate but was not due to problems with their production units.
Elaborating, he said it was likely that one reason was faults originating from the power transmission lines.
Gosbert Matandu, a long-serving Mtera station technician now also serving as assistant to the operations manager at the site, then took the journalists to the dam site for a verification of the day`s water level readings.
Pointing at the yardstick (graduated iron bar), Matandu said once the water level exceeded 698.5m, the maximum level for the dam`s holding capacity, operators would be obliged to open the floodgates to avoid serious consequences.
``This is the level of water for today. The readings are closely monitored day and night to make sure that the amount of water meant to have the runners (two turbines) going was within the recommended level,``he explained.
The aim is to avoid air-sucking in case of low water level which may cause cavitations to the runners, he said.
Meanwhile, Mtera station operations manager Joseph Chomola produced a computer-monitored chat which showed monthly water level readings.
That was in an attempt to ``clear the air`` and assure consumers that power would continue to flow at both Mtera (80MW) and Kidatu station (204MW), both of which receive water from Mtera Dam.
Chomola said daily records showed that there has been a gradual increase in the level of water since the beginning of this month.
``For example, on February 1 it was 696.03 m and the readings on February 10 (the day The Guardian toured the station) was 696.07m. It is our hope that the pleasant situation will continue because the long annual rains are expected to set in shortly,`` he pointed out.
He added: ``Even if the water level were to fall by a whole two centimetres a day, God forbid, it would have taken more that 300 days to reach the minimum level of 690m``.
Plant Operator (Control Room) Alfred Machismo sat at a corner on Mtera station's lowest floor, surrounded by several direct telephone lines and computer sets "to make sure that any unusual alarm sounded is promptly attended to".
``As you can see, everything is running at full capacity here. We have deliberately lowered the output to 30MW and 28MW for in line with instructions from the Grid Control Centre in Dar es Salaam, popularly known as SCADA, depending on the load or consumption rate at the specific moment,`` he explained, adding: ``Things are perfect and there is no cause for consumer alarm or panic.``
A beaming Machimo then fixed his eyes on the huge control unit, as live meter readers monitored every section of the production process.
Tanesco said recently that the nation is on the verge of a power crisis and announced an ambitious plan to put up a new 400KV national grid to support its existing dilapidated power supply backbone.
The giant state-run power company blamed frequent blackouts experienced in Dar es Salaam and several other regions recently to an ``overwhelmed`` Tanesco network.
According to Tanesco, the new transition backbone is to be built from Iringa to Shinyanga through Singida Region and is to meet increased countrywide demand for electricity.
The firm`s capacity to generate and supply power has been seriously eroded over the years chiefly by a high rise in demand, sabotage of its infrastructure and transformer oil thefts.
Ensuring quality and reliable supply becomes an increasingly nagging problem as demand continues rising, officials and analysts say.
The existing 220KV and 132KV transmission system suffers from frequent voltage depressions, surges and sometimes total outages, according to Tanesco Managing Director Idris Rashidi.

* SOURCE: GUARDIAN

Am I reading this right ??
__________________
Something that is much more scarce than ability



Hao waungwana ni mafundi umeme wanachapa kazi 24/7 na hayo ndio maneno yao wakiwa ndani ya ovaroli, buti, bisibisi, mjikovia wa plastic n.k...ninyi mangwini mpo Darlisama, mmevaa ma-suti, mnatuletea stori ambazo zinakinzana na mafundi!! Namna gani hapo?? Mnaua nchi! Eti wameambiwa toka makao makuu wazi-run mashine chini ya capacity, why??.....Rashidi, Nyepesi, sijui Rostam, Shelukindo et al kwanini mmewaambia mafundi wafanye hivyo? mnajua nini kuhusu umeme? Acheni longolongo, lazima wataalamu na taaluma zao wapewe nafasi kama tuonavyo ktk nchi nyingine......watu wa taaluma nyingine wanajituma/tunajituma vizuri tu isipokuwa ninyi, mmerogwa? au tatizo lenu hasa ni nini? LOL

Mangwini ninyi ni hooooooovyo sana na mnaua nchi......;)
 
Last edited:
YNIM,

Why ae you so hot and mad about Ungwini? Umesahau kuwa kazi yetu ni kufikiria, kupanga kisha kukupa wewe kazi uunde, kisha urusishe kwetu kwa approval na sisi hutangaza zao la fikra zetu?

While we brainstorm the ideas, weye kazi yako is to breakdown the numbers and make it happen, and get residual credits! kwi kwi kwi! ndiyo maana Nyani owns your number!
 
YNIM,

Why ae you so hot and mad about Ungwini? Umesahau kuwa kazi yetu ni kufikiria, kupanga kisha kukupa wewe kazi uunde, kisha urusishe kwetu kwa approval na sisi hutangaza zao la fikra zetu?

While we brainstorm the ideas, weye kazi yako is to breakdown the numbers and make it happen, and get residual credits! kwi kwi kwi! ndiyo maana Nyani owns your number!

Umeongea kama ngwini kabisa bwahahahahaha, hiyo hadithi yako ni kweli ktk nchi kama Tanzania...lakini huku magharibi ni kinyume chake, yaani ma-scientist wanafanya uvumbuzi na kuweka kila kitu mezani na mangwini kazi yao ni kukubali, kutia saini na ku-fund hiyo miradi!! Haipo dizaini ya Lowassa kuleta mvua, toka lini mchonga vinyago akaelewa jinsi mvua bosheni inavyotengenezwa?? Ndio mambo ya Al Gore haya, ati yeye ndio aliyegundua internet!! Ebo...toka lini ngwini akawa na ubavu huo!???

Mangwini wa bongo mnaua nchi....
 
Halafu angalia mishahara mnayolipa MDs na Mainjinia ni aibu tupu....hapo Kenya tu wanalipa karibu mara mbili ya mshahara wa daktari wa bongo, hivi tatizo lenu ninyi mangwini ni nini hasa?? Ndio maana nchi haiendi popote kwasababu brains zinazo-run nchi zimesomea vitu vya kufikirika na hazina akili!! Waziri mkuu ana digrii ya kuchonga vinyago, kuchora katuni na kucheza maiigizo.....only in Tanzania! Bwahahahahaha....

Mangwini mnaua nchi...
 
YNIM,

Kwa nini basi usigombee uraisi? Mwenzenu Bwana Shamba Sumaye yalimshinda, sasa unalalamika nini?
 
YNIM,

Kwa nini basi usigombee uraisi? Mwenzenu Bwana Shamba Sumaye yalimshinda, sasa unalalamika nini?

Nalalamika kwasababu ngwinism in Tanzania inaua nchi......yule nae alikuwa na diploma tu, my grandpa alikuwa na elimu ya kilimo kushinda Sumaye....kama wewe na yeye ni ngwini tu! hoooovyo tena bure ni ghali!
 
Hawa ndio viongozi wanasayansi wetu ambao wameongoza maeneo nyeti:

1. Profesa Mark Mwandosya - alikuwa na JK Nishati wakati wa IPTL N.K.
2. Profesa Juma Kapuya - alikuwa Michezo tukiwa Kichwa cha Mwendawazimu
3. Profesa Matthew Luhanga - alikuwa Chuo Kikuu wakati wa Migomo Sugu
4. Profesa Philemon Sarungi - alikuwa Afya wakati wa sakata la Madaktari
5. ...
 
Huu ndio uamuzi alioutoa Mwanasayansi tunayemuenzi jina lake Chuo cha Maji:

"In 1979 the Principal Secretary in the Ministry, Frederick Lwegarulila, a brilliant water expert from Bukoba, suggested that we do an aerial geophysical survey of Tanzania to determine the country's water and mineral resources...The aerial survey conducted in the late 1970s for minerals also showed us sources of potable water that were sufficient to supply all country's needs. We therefore used it to work out a plan to provide portable water throughout Tanzania. We decided to approach all our donor countries...Accordingly, the Principal Secretary in the Ministry, Frederick Lwegarulila, and I first travelled to Norway...Lwegarulila once received an offer from the Swedish government to send Tanzanians for training as water engineers in Sweden. We only had 20 engineers in the Ministry at that time. Lwegarulila replied that Swedish technology was too advanced for Tanzania and also very expensive. He suggest that, instead, Sweden should provide scholarships for Tanzanians to be sent to India for training. They agreed, and we made arrangements to send 120 civil engineers and a geophysicist to Roorkee University in India for further training" - Al Noor Kassum, Former Minister Responsible for Water in 'Africa's Wind of Change: Memoir of a Tanzanian Internationalist' page 124 -131)

Leo bado maji yanapatikana kwa taabu sana Tanzania na teknolojia ya Sweden inapeta.
 
wacha matani wewe! Gwini wametawala kiuongozi duniani, angalia historia ya marekani kwa mfano kidogo tu! check the link Internet Public Library: POTUS . Leading a country is not about academic background, it is about a leader to understand collective individuals which called nation that must have character, vision and attitude to interact with other collectives for its progress.

Sina taabu na Mwangwini,

Ila ni kwa nini wawe watawala tu tangu Uhuru na leo ni karibu 50 years??

Kwa kuwa basi tangu Uhuru tumetawaliwa na Maraisi na PM wote Ngwuni..basi sasa tuwape pia nafasi Natural Scientists ili tulinganishe!

Hii ndo hoja yangu!

Au Natural Scientists hawana interest na hiki cheo cha juu??

It is fair enough tuwape nafasi halafu tupime matokeo!

Huenda Blaa Blaa Blaa na Maneno mengi bila vitendo Tanzania vitapungua!

Sii mbaya Kujaribu!

Je Natural Scientists Mpo? Akina Fundi Mchundo Mnasemaje?

Mpira uko kwenu!!!

Mnasemaje?
 
This is what Adam's say's on leadership and specialization

JOHN ADAMS:

I must study politics and war that my sons may have liberty to study mathematics and philosophy. My sons ought to study mathematics and philosophy, geography, natural history, naval architecture, navigation, commerce and agriculture in order to give their children a right to study painting, poetry, music, architecture, statuary, tapestry, and porcelain.
 
Sina taabu na Mwangwini,

Ila ni kwa nini wawe watawala tu tangu Uhuru na leo ni karibu 50 years??

Kwa kuwa basi tangu Uhuru tumetawaliwa na Maraisi na PM wote Ngwuni..basi sasa tuwape pia nafasi Natural Scientists ili tulinganishe!

Hii ndo hoja yangu!

Au Natural Scientists hawana interest na hiki cheo cha juu??

It is fair enough tuwape nafasi halafu tupime matokeo!

Huenda Blaa Blaa Blaa na Maneno mengi bila vitendo Tanzania vitapungua!

Sii mbaya Kujaribu!

Je Natural Scientists Mpo? Akina Fundi Mchundo Mnasemaje?

Mpira uko kwenu!!!

Mnasemaje?

Kwa bahati mbaya sana ni % ndogo sana ya ma-natural scientists wanakuwa tayari ku-lead organisations and political organs.
Sababu ni moja kwa sababu ya upungufu wao wanakuwa siku zote busy kutenda kazi zao (natural jobs, udaktari, uhandisi mitambo, vyuma etc)... mfano tuna upungufu wa madakrati Medical Doctors ni vigumu, hao wachache ku-offer kwa ajili ya kuongoza sehemu zingine... wahandisi hivyo hivyo.

Kwa nini? kwa sababu kazi zao haziwezi fanywa na mtu yeyote isipokuwa wale waliokula...form V & VII science, miaka minne hadi mitano ya university...

Tofauti na field zingine unaweza zuka kutoka kokote kule bado uweze ku-deliver.

Lakini nakuhakikishia kila pale nilipoona CEO anayetoka kwenye natural science... performance zao zimekuwa nzuri sana.

Na hili ndio chimbuko la wana-science jamii kujaza mashule mengi ya sayansi jamii... HGK, HKF, etc... kwenye taifa.
 
Kasheshe,
Mkuu ktk hili nadhani unajaribu ku spin the issue kwa sababu tunachozungumza hapa ni hili swala la mitambo ya Dowans..
Kuna issue mbili hapa ambazo unajaribu kuziunganisha Short na Long term strategies..
Kwanza hakuna mwananchi anayepinga umuhimu wa Umeme na kwa nini serikali yetu imeshindwa kutekeleza long term plan ya kuzalisha umeme..Hilo halina ubishi wala mjadala iwe kwa wanasiasa, wasomi au wananchi kabuntas kama sisi.. mahitaji ya UMEME hayana elimu ya art wala Uhandisi isipokuwa ni chombo gani kinahitajika..tatizo ipo ktk utekelezaji wa short term plan ambayo tayari imekwisha fanyiwa kazi na hao hao wasomi wahandisi unaowazungumza.. wametumia art kutuzuga wananchi wote. sasa sijui walisomea art au Uhandisi.

Mkuu wangu kinachogomba hapa labda nikiweke sawa.. ni Hivi kama sisi tumekwenda kwa daktari na ametuandikia dawa ya maleria iwe Chloroquine, hakuna anayepinga maamuzi hayo, isipokuwa tunachopinga ni maamuzi ya mtu alioyekwenda dukani kununua dawa hiyo..Kwanza kanunua dawa toka kwa mlanguzi feki - made in India kwa gharama ambayo ni kubwa..Kinachogomba zaidi ni madai yake yanayolenga zaidi sababu za maradhi yetu na somo zito kuhusiana na Maleria wakati sisi tunachouliza ni kidogo sana why.. kinahusu hiyo dawa sio maradhi yetu..hatupati jibu!

Nachoomba hawa wahandisi unaotaka kuwasifia watueleze kwa undani kuhusu hii mitambo ya Dowans na sio kiza kinachotuandama, hilo tunafahamu toka mwanzo na ndio maana serikali iliwapa go ahead Tanesco kununua mitambo ya dharura badala yake wao wakatufungashia mitambo ya mashinga!..
Sasa nani artist hapa ikiwa huyo msomi mwenyewe anatumia art kufanya maamuzi yanayohitaji elimu yake..Kulikuwa hakuna wakati una viongozi wsomi na wahandisi kama unavyotaka kuliko wakati wa Mkapa lakini ndio wakati Umeme,Maji na vitu vyote vimetupwa nje ya elimu zao..walichofikiria ni UTAJIRI!.. na ktk swala la mitambo ya Dowans kinaendelea hapa ni imani hiyo ya UTAJIRI..imani ambayo wananchi tumechoka nayo! kwa nini hawa wasomi hawaelewi hilo?
So artist can be anyone, msomi, mwanasiasa na hata raia asokuwa na elimu..Ni kipaji kinachotegemea wajinga wangapi wanaingia!

Kazi kweli kweli. Kinachonisikitisha ni kuwa Tanesco ambayo ni kweli imesheheni wahandisi, ila imekuwa haiwatumii kama inavyotakiw au inawatumia wakati kuna mizengwe ambayo wanasiasa wanajua bila wahandisi mambo yao hayataenda. Mara nyingi mambo ya kitaalamu wanayoyashauri huwa hayasikilizwi.Master plan ya umeme TZ si ipo? Wahandisi walijiandaa kukabiliana na ongezeko la matumizi ya umeme kwa utaratibu huo mzuri tu,ila wanasiasa wanataka kula humo.Wamesahau kama wanatakiwa kuifuata master plan ili kuachana na kuhangaika na emergency kila mwaka.
Ninachojua mimi wahandisi wa Tanzania ni bora Botswana, Dubai, South Africa na kwingineko lakini sio hapa nyumbani.Sijui tutang'amua lini kwamba kama hatutaki kuutumia utaalamu wao hatutapata maendeleo ya kudumu...ilivyosasa, nahisi hatuna shida na utaalamu wao kabisa.Tutaendelea kuwaazima wahindisi kutoka India waendelee kutujengea high rise buildings in town.
 
Kazi kweli kweli. Kinachonisikitisha ni kuwa Tanesco ambayo ni kweli imesheheni wahandisi, ila imekuwa haiwatumii kama inavyotakiw au inawatumia wakati kuna mizengwe ambayo wanasiasa wanajua bila wahandisi mambo yao hayataenda. Mara nyingi mambo ya kitaalamu wanayoyashauri huwa hayasikilizwi.Master plan ya umeme TZ si ipo? Wahandisi walijiandaa kukabiliana na ongezeko la matumizi ya umeme kwa utaratibu huo mzuri tu,ila wanasiasa wanataka kula humo.Wamesahau kama wanatakiwa kuifuata master plan ili kuachana na kuhangaika na emergency kila mwaka.
Ninachojua mimi wahandisi wa Tanzania ni bora Botswana, Dubai, South Africa na kwingineko lakini sio hapa nyumbani.Sijui tutang'amua lini kwamba kama hatutaki kuutumia utaalamu wao hatutapata maendeleo ya kudumu...ilivyosasa, nahisi hatuna shida na utaalamu wao kabisa.Tutaendelea kuwaazima wahindisi kutoka India waendelee kutujengea high rise buildings in town.

Jamani... TANESCO ina all operation na strategic plans both short term and long term.. tatizo serikali yenu haitoi fedha za kutekeleza hizo plans... in short hao magwini hawaelewi mpaka umeme ukatike ndio wanaelewa.

Kumbukeni kipindi cha Mh. Ben Mkapa 10years hakuna investment kubwa ilifanyika kwenye power sector... matokeo yake mwaka 2005/2006 mukaonja joto ya jiwe... ndio ikazalisha richmond etc.

Tatizo sayansi jamii ndio ina power kubwa ya kuamua mambo... siku hizi wana-uhuru mpaka wa kusanifu barabara na madaraja... ati mtu anasimama anasema tuweke barabara za fly over... kwa feasibility study gani?
 
Jamani... TANESCO ina all operation na strategic plans both short term and long term plans.. tatizo serikali yenu haitoi fedha za kutekeleza hizo plans... in short hao magwini hawaelewi mpaka umeme ukatike ndio wanaelewa.

Kumbukeni kipindi cha Mh. Ben Mkapa 10years hakuna investment kubwa ilifanyika kwenye power sector... matokeo yake mwaka 2005/2006 mukaonja joto ya jiwe... ndio ikazalisha richmond etc.

Tatizo sayansi jamii ndio ina power kubwa ya kuamua mambo... siku hizi wana-uhuru mpaka wa kusanifu barabara na madaraja... ati mtu anasimama anasema tuweke barabara za fly over... kwa feasibility study gani?

Kasheshe,

Kama hawa Ngwini ndo mchawi basi sii tuwapige chini angalau kwa muda?

Watawala wamesomea ngwini alafu wanatuendesha kama gari bovu na blaa blaa nyingi!!

Yaani wala sina la kusema!
 
Kasheshe,

Kama hawa Ngwini ndo mchawi basi sii tuwapige chini angalau kwa muda?

Watawala wamesomea ngwini alafu wanatuendesha kama gari bovu na blaa blaa nyingi!!

Yaani wala sina la kusema!

Mzalendohalisi,

Si unajua demokrasia tulizoletewa na wajomba wa marekani na ulaya ambazo tumezikubali na kuzikumbatia zinasema wengi wape!!! majority wins...

Sasa walishaandaa mazingira wawepo madarakani milele... wahitimu wa sayansi ya jamii ni zaidi ya 80%... si ushindi wa kishindo huo tayari...

Ndio maana ni less than 5% ya wanasiasa na waandishi wa habari ambao wamesoma press release ya TANESCO.

Lakini stori walizoandika... huwezi amini.
 
..naona Ban Ki-Moon kalikoroga kwelikweli.


Woes mount at UN office over Tibaijuka demotion

Abiya Ochola

UN-Habitat Director General Anna Tibaijuka could have been demoted due to her efforts to restore order at the UN Office in Nairobi.

It has also emerged that UN Secretary-General Ban Ki-moon did not consult his Special Adviser on Gender Issues and the Advancement of Women, Ms Rachel Mayanja.

The demotion has also opened up administrative problems at the UN Office in Nairobi (UNON), with issues of who will be in charge when new Director General Achim Steiner is out of station.


Dr Anna Tibaijuka, UN-Habitat Executive Director. UN chief Ban Ki-moon replaced Tibaijuka as the UNON Director-General, last week. Photo: File

According to correspondence in our possession, Dr Tibaijuka could have been hounded out as punishment for her dedication to restore order.

"It would be a paradox to treat her this way and punish her for her efforts to restore order and decency in administration at the Nairobi duty station," wrote Mozambican Permanent Representative to Unep and Un-Habitat.

An investigation by American media agency Inner City Press (ICP) revealed that Mayanja was not informed of the changes.

Asked whether Mr Ban consulted her before demoting one of his most senior female officials, she said: "I am not very familiar with this issue. I need to look into it and get properly informed before answering you."


Rotation principle

In demoting Tibaijuka, Ban espoused what he termed the principle of rotation, but questions are being raised as to the selective application of the principle.

Tibaijuka, a Tanzanian, has headed UNON for two and half years, while the head of UN Office in Geneva, a Russian, Mr Sergei Ordzhonikidze, has been head of station for seven years.

"If there is a policy of rotation, it is selective, it appears," observes ICP.

Tibaijuka's demotion came after a memo changing the requirements for holding the office to fit in her successor.

In a UN memo dated April 28, last year, Ban stated, "The Office (UNON) is headed by a Director-General, at the Under-Secretary-General level, who is the most senior Under-Secretary-General among the Heads of the United Nations Programmes headquartered at the duty station, namely, Unep and UN-Habitat."

But in a new memo, called bulletin in UN circles, which came into effect on March 1, Ban quietly changed the clause omitting "most senior". It reads: "The office is headed by a Director-General, at the Under-Secretary-General level, designated by the Secretary-General from among the heads of United Nations Programmes headquartered at the duty station, namely, Unep and UN-Habitat."

Had the UN been strict acoording to the original bulletin, Mr Steiner would not have become UNON chief because with six years experience as an Under Secretary-General, Tibaijuka is his senior.

Tibaijuka is still the executive director of UN-Habitat in Nairobi.


Administrative troubles

According to ICP, Steiner is said to have, immediately upon appointment, run into administrative troubles when he tried to appoint the Officer-In-Charge (OIC).

"The Under Secretary General for Management Angela Kane demanded that the former DG (Tibaijuka) serve as OIC, not realising the legal contradictions in the new hastily prepared bulletin.

The former DG expressed the legal impossibility of her serving as OIC for the new DG, but her concerns were left unanswered," ICP says.

In the impending confusion, Steiner attempted to identify OIC by approaching the Assistant Secretary-General for UN-Habitat Inga Klevby, who allegedly refused on grounds that she saw no statutory basis or administrative guidelines to serve in that capacity.
 
Kazi kweli kweli. Kinachonisikitisha ni kuwa Tanesco ambayo ni kweli imesheheni wahandisi, ila imekuwa haiwatumii kama inavyotakiw au inawatumia wakati kuna mizengwe ambayo wanasiasa wanajua bila wahandisi mambo yao hayataenda. Mara nyingi mambo ya kitaalamu wanayoyashauri huwa hayasikilizwi.Master plan ya umeme TZ si ipo? Wahandisi walijiandaa kukabiliana na ongezeko la matumizi ya umeme kwa utaratibu huo mzuri tu,ila wanasiasa wanataka kula humo.Wamesahau kama wanatakiwa kuifuata master plan ili kuachana na kuhangaika na emergency kila mwaka.
Ninachojua mimi wahandisi wa Tanzania ni bora Botswana, Dubai, South Africa na kwingineko lakini sio hapa nyumbani.Sijui tutang'amua lini kwamba kama hatutaki kuutumia utaalamu wao hatutapata maendeleo ya kudumu...ilivyosasa, nahisi hatuna shida na utaalamu wao kabisa.Tutaendelea kuwaazima wahindisi kutoka India waendelee kutujengea high rise buildings in town.
Jibu la swali lako analo injinia Stela Manyanya yule mama mbunge wa wakina mama aliyekuwa kwenye tume ya Mwakyembe.
Muulize kwa nini aliamua kuacha kazi ya uinjinia Tanesco na kwenda Dodoma. Tena alipoona kama anaweza kurudishwa kazini Tanesco siku moja, akajiwahi kwa kuwaandikia barua kwamba wamkome hana haja na kazi yao tena. Muulize atakupa jibu
 
Inaaminika kuwa ni rahisi sana kwa mtu aliyesomea injinia au sayansi kubadilisha profession yake. Lakini watu wa fani zisizo za sayansi wana kazi kubwa kubadili fani zao kwenda kwenye sayansi.

Kwa mtaji huu nchi ni lazima ibadilike. Miaka ya zamani nchi iliweza kuwabana wana-sayansi wake kubakia katika kile walichosoma. Lakini kwa miaka ya sasa nchi haiwezi kumudu kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom