Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.
Sasa hicho ndio kinacotu-cost wengi wetu, we are not ready to accept the truth, matokeo yake tunakuwa tayari kudanganywa! dawa ya malaria ya klorokwini used (still is) to be very bitter in taste, lakini ili upone tuliibugia kama ilivyo. So mimi nashauri, songa mbele, tena shukuru Mungu kuwa ulimpenda kwa mbali tu, coz ingekuwa kwa ukaribu na ukakuta ndio wale wenye mkwara mpaka wa kukufungulia mlango wa gari si ndio ungetaja kujimaliza kabisa? Just accept it kuna he/she is occupied, labda sio uliyeandikiwa, na haya mambo ukiyang'ang'aniza ndio kabisa, you'll be treated like s**t!
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
 
Nipo.Nilikosa tiketi za WC.Yani huna hata haja ya kuuliza kama amebadilika au bado.We utaona tu mwenyewe................
mi nasubiri tu!...
sitapenda kuona tumbo linaumuka kabla hatujaenda kanisani :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

amani kwako x-pin(hapa naona dalili kabisa kuwa IMEKULA KWAKO)
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!

umeona eeeeeeeeeh!!! sijui tukoje???!!!!

nadhani tupunguze matumizi ya moyo zaidi kuliko kichwa
 
mi nasubiri tu!...
sitapenda kuona tumbo linaumuka kabla hatujaenda kanisani :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

amani kwako x-pin(hapa naona dalili kabisa kuwa IMEKULA KWAKO)

Hahahahaaaaa,kanisani muhimu .Subiri tu utakapoona mtoto kopiraiti na Xpin.(Vinginevyo itabidi tutafute DNA)
 
leo nimeamka na mikosi kweli, kuna panya aliekosa radhi za babaake katafuna suti yangu. aaargh!
:focus:pole sana GENDER! mtoto wa pekee wa mzee SENSITIVE.
 
Hahahahaaaaa,kanisani muhimu .Subiri tu utakapoona mtoto kopiraiti na Xpin.( HATA KAMA VIPIMO VYA DNA VITAKATAA NITALAZIMISHA TU,HATA KAMA MTOTO ATATOKA MCHINA NITALAZIMISHA TU)

:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
bht upo?..umeshazungukwa mpaka dakika hii
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
bht upo?..umeshazungukwa mpaka dakika hii

afu wewe huwa una akili sana kabla hujanywa valuu!!! huyu bibie in my absence kun alililoendelea wala sio siri maana mmh.....ngoja kwanza tutateta chobingo
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:
bht upo?..umeshazungukwa mpaka dakika hii

Invizibo yupo wapi jamani????? Hiyo ni POST CALLING.Umebadilisha post yangu bila ridhaa yangu.unastahili ban wewe.
Mtoto atakuwa na Kitambi kama babaye ili kuonyesha kuwa tunapendana kweli.
 
Ple GS, endelea tu kumpenda lakini kama friend tu na si vinginevyo.
 
leo nimeamka na mikosi kweli, kuna panya aliekosa radhi za babaake katafuna suti yangu. aaargh!
:focus:pole sana GENDER! mtoto wa pekee wa mzee SENSITIVE.

ulitaka kuivaa kwenye kitchen party??
oops sorry send off party???
pole mwaya k..........kwenu hamana wale wanapita na vibaiskeli na spika za ......'sumu ya panya mende sisimizi, kunguuuuuuuuuuuuuuuuuuni, sumu ya panya.......'
 
Wapwaz na Binamuzi wote.

Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....
.
Bora na nyie siku moja moja muonje ladha ya upande wa pili ambayo sie tumeizoea!!
 
hahahaha Teamo mie niende wapi nasubiri tu GS ataje iwe kasheshe ..Teamo si unajua shemeji yako yuko hapahapa labda alishawahi kumtupia ndogo ndogo GS,,nadhani invisible itabidi akae tayari kwa Ban.
Hivi inawezekana ni wewe Teamo:A S-devil1:

Kesi!
 
Pole sana GS! Hiyo ni sehemu ya maisha ambayo ni ngumu sana kuikabili! Pole sana Mum!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom