Ninayempenda Nisiyemjua Kanitolea Nje

Status
Not open for further replies.

Regia Mtema

R I P
Nov 21, 2009
2,970
864
Wapwaz na Binamuzi wote.

Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....

Wenu katika majonzi
Gender Sensitive....
 
Ndugu yangu, songa mbele basi, si kasema hana nafasi? Au tushauri nini tena?
 
Pole sana GS.jitahidi kumsahau na NAKUHAKIKISHIA utampata mwingine mzuri kushinda huyo.
Na bora umejua mustakabali wako mapema na unejitoa kwenye mapenzi ya hisia.
Just cool down usiharakishe mapenzi yatakuja kwa wakati wake.
 
Wapwaz na Binamuzi wote.

Mtakumbuka niliwahi kuanzisha masa hapa ikisomeka"nimempenda mtu nisiyemfahamu-sijawahi kumuona" niliomba ushauri na nilipata ushauri toka kwa baadhi yenu ya namna ya kumwambia..Nilikuwa nachat naye mara nyingi,kila akiwa hewani nilikuwa siachi kumsalimia na kuzungumza naye mawili matatu,kifupi ni mtu pekee humu JF niliyemzoea sana na kuweza kumwambia chochote kinachonihusu bila kumficha.Na katika kumzoea huku kukanifanya nizidi kumpenda.Baada ya kuzoeana naye Nilijikaza nikamwambia ukweli,jamaa akachomoa,nikaendelea kuvumilia na kuendelea kumsisitiza,hivi karibuni ameniambia ana mtu,nimeumia sana kwani nilkuwa najifariji huenda akawa hana mtu...Kifupi ni kwamba kanitolea nje..Nampenda..Niko njia panda sijui nifanyeje.....

Wenu katika majonzi
Gender Sensitive....

Mi pia niko single kwa sasa.
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
sasa mama!imekuwaje umeamua kunianzishia sredi?!
mi nilikwambia kwamba katika umri wangu huu wa miaka 38,sio rahisi kwamba nikakosa kuwa na mtu!....

YANINI MALUMBANO MAMA!......
 
oooh sweetheart pole sana najua ni jinsi gani unaumia moyoni sijui kwanini hii kitu mapenzi ilikuwepo ..lakini mshukuru sana huyo mtu ni mwema na mstaabu kakwambia ukweli toka moyoni baada ya muda utazoea.Kuliko angejifanya kukubali akuchezee labda umpe tundi na baadae akuumize moyoni..
Mungu ni mwema sana GS shukuru kwa kila jambo..
 
Pole sana GS, songa mbele mbona wadau wapo wengi tu? Haikuwa riziki yako hiyo!
 
"Have You Ever?"by Brand

[Chorus]
Have you ever loved somebody so much
It makes you cry
Have you ever needed something so bad
You can't sleep at night
Have you ever tried to find the words
But they don't come out right
Have you ever, have you ever

Have you ever been in love
Been in love so bad
You'd do anything to make them understand
Have you ever had someone steal your heart away
You'd give anything to make them feel the same
Have you ever searched for words to get you in their heart
But you don't know what to say
And you don't know where to start
[Chorus]

Have you ever found the one
You've dreamed of all of your life
You'd do just about anything to look into their eyes
Have you finally found the one you've given your heart to
Only to find that one won't give their heart to you
Have you ever closed your eyes and
Dreamed that they were there
And all you can do is wait for the day when they will care
[Chorus]

What do I gotta do to get you in my arms baby
What do I gotta say to get to your heart
To make you understand how I need you next to me
Gotta get you in my world
'Cuz baby I can't sleep:biggrin1:
 
Nampenda sasa kwa hiyo najikuta napata ugumu kusonga mbele

Hapana kumpenda mtu ni pamoja na kumtakia mema; endelea kumpenda na kumtakia maisha mema kwake na huyo wa ubani wake! Wewe kutokuwa chaguo lake isikutisha wala kukukatisha tamaa!

Mr. right is just arround the corner! You need to be patient sista!
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
sasa mama!imekuwaje umeamua kunianzishia sredi?!
mi nilikwambia kwamba katika umri wangu huu wa miaka 38,sio rahisi kwamba nikakosa kuwa na mtu!....

YANINI MALUMBANO MAMA!......
:A S-rose: he he he hommie btn the lines....dot connection....!!
by the way ile Avatar yetu vp?
 
:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:!
sasa mama!imekuwaje umeamua kunianzishia sredi?!
mi nilikwambia kwamba katika umri wangu huu wa miaka 38,sio rahisi kwamba nikakosa kuwa na mtu!....

YANINI MALUMBANO MAMA!......

Sina comment kwa hapa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom