Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
kwahiyo? Unataka kutudanganya kuwa ukipata ubunge utageuza mbingu iwe ardhi?kwanza kabisa ni kutumia aridhi yetu ndogo vizuri,hasa milima na kwa hakika mlima kilimanjaro kwa aridhi yetu ni ndogo sana,tazama tuna. 1. Hekta 46,506 (46%) zinafaa kwa kilimo 2 Hekta 14,154 (14%) ni eneo la misitu 3. Hekta 13,143 (13%) ni eneo la miamba na 4.Hekta 27,297 (27%) ni eneo lifaalo kwa malisho ya mifugo. utagundua hatuna aridhi ukilinganisha na mikoa mingine.